Kila siku tunamnunulia Pombe tumekuja kugundua kumbe anajenga



Hebu tujiulize, kwa akili zetu nyingi, je, kama yeye naye angekuwa akichangia kununua hizo bia, asingeweza kujenga? Ikiwa ndivyo, basi mnapaswa kumshukuru kwa mfano huu mzuri alioutoa! Iwapo ninyi pia mtachagua kutotumia pesa zenu kwenye bia hizo, basi mnaweza kufanikiwa kujenga kama alivyofanya yeye.
 
Hiyo sijaona, nb marafiki walevi ni wanafiki pombe wanakupa ila chakula hahaha
Walevi hawa hata mia yao kuonja kasheshe! Atakupa kreti la beer ila sio elfu 50 yake!🙌🏾
 
He’s wrong for that, kumisrepresent fact ni aina ya fraud.

Kutumia hela yenu ya bia bila yeye kuchangia pia in usnitch.

Ila yeye kujenga bila kuwaambia, trust me inatokana na story mnazopiga kwenye kijiwe chenu cha pombe……. He knows better.
 
Hahahaha 🤣 kaka umeongea kwa hisia sana ety pombe ni usenge sema bc
 
Ukiwa positive ni kweli, ila huwezi kuharibu katika jamii inayokuzunguka kwa maslahi yako binafsi haipishani na wale mafisiemu! Mtu ataibia serikali atajenga hotel bado ka invest ila kwa njia isiyo sahihi!
Huyu ni tapeli tu
 
Sa si muamie wote kwenye hiyo nyumba uo mwezi wa 8!!.
 

Sawa hatukatai, kuficha msiba je?
 
OgaBoy
 
Ukute shemeji yenu kachomekea uzushi makusudi ili asambaratishe hilo kundi la timu Chapombe. Fanyeni utafiti kwanza
Hahaha na kawasambaratisha kweli, hapa ndio tunasema Wanawake wanawazidi akili Wanaume wengi Tu, hapo kundi litakufa wataabza kuweka akiba wanunua viwanja
 
H
HAhaha
 
Marafiki wasikusahaulishe shida za kwenu! Mwenzenu kujenga sio shida maana maisha kila mtu ana hesabu zake, kutokuwaambia anajenga hana kosa kabisaa. Labda hiyo ya kutowashirikisha msiba wa mama labda ni limbukeni hakutaka mjue anakotokea havifanani na yeye huko mjini, aibu zile
 
Mchawi huyo mkataeni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…