Kila Siku tunamsifia Kipa Djigui Diara kuwa ana Footwork nzuri Jana mbona hakuitumia ili zile Gongo Mbili zisiingie Nyavuni mwake?

footwork alionesha vizuri tu japo hakupata msukosuko kabisa,magoli yote aliyofungwa ni mabeki wake hawakuwa makini
 
mental
 
Kwa hiyo Manula ni zaidi ya Diarra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…