Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

Hakuna'ga mpare mrefu, kacheki dna na mzazi wako wa kiume inawezekana enzi zile madha ako anaenda benki pale moshi mjini alikutana na kijana wa kichaga aka.....oh no its just a joke!
baba yangu ni mrefu kama msomali halafu nimefanana naye kishenzi
 
Wapare kiherehere !
Wanaongea sn
wengi wazinzi
wanapenda kesi
wachoyo
wengine wachawi

aaah wapare bhanaa
 
Back
Top Bottom