Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hizi changamoto wanazopitia Tabora United, Ken gold za wachezaji kudai mishahara ya miezi kadhaa halikubaliki na inadhihirisha kuna hitajika uwekezaji kwenye mpira wetu wa TanzaniaSawa mheshimiwa rais mtukufu
Naomba kazi mheshimiwaTimu nyingi ndogo zinapitia ukata mkubwa sana
Usinisahau boss endapo utapataHii itawezesha timu ndogo kumudu gharama za kuendesha timu na kupunguza rushwa na kupanga matokeo
View attachment 3333620
Kutakua na fursa kwa watu woteUsinisahau boss endapo utapata
Uwezo huo upo kabisa sikiliza report ya CAG fedha zinazopoteaHehe! labda billion za kuandika
Tanzania vijana waki-discuss mambo ya msingi wanaambiwa wamechanganyikiwa ila wakidiscuss mambo ya umbea wanaonekana wanaakiliThe Return Of Don Namilison Kisandu.
Hutanielewa tu baadae sio lazima unielewe wakati huuHuyu jamaa huwa simwelewagi
Kabla ya kusema utatoa pesa sema kwanza hiyo pesa utaitoa wapiNikiwa Rais kabla ya ligi kuanza timu zitapewa billion 1 kwa ajili ya maandalizi na matumizi wakati msimu ukiendelea na hii itafanya timu zetu kuwa na ushindani na kiwango cha fedha kitaongezeka
View attachment 3333740
Kwa sababu hawajitambui.Timu nyingi ndogo zinapitia ukata mkubwa sana
Pesa itatoka serikalini kupitia wizara ya michezoKabla ya kusema utatoa pesa sema kwanza hiyo pesa utaitoa wapi
Timu hazina fedha zina ukata mkubwa sana unasemaje hazijitambuiKwa sababu hawajitambui.
Badala ya kusajili vijana wenye vipaji na uwezo wanasajili wachezaji kwa connection ya ndugu zao
Mh Raisi.Karibu uchangie na utoe mawazo yako