DonNikiwa Rais kabla ya ligi kuanza timu zitapewa billion 1 kwa ajili ya maandalizi na matumizi wakati msimu ukiendelea na hii itafanya timu zetu kuwa na ushindani na kiwango cha fedha kitaongezeka
View attachment 3333740
Mbona kuna nyuzi nimeongelea kujenga uwanja wa tennis arusha na kuanzisha mashindano makubwa ya tennis arusha mfano wa grand slum na kuanzisha kilimanjaro diamond league kujenga uwanja mkubwa na kupambana yanaingia kwenye calender za kimataifa na haya hayahusiani na mpiraMh Raisi.
Nina Hoja.
Kutoa fedha kwa timu za mpira tu sioni kama ina tija.
Maana Kuna michezo mingi. Netball, basketball, mbio, na mingine ming ambayo inafanyika mashindano ya kimataifa ya Afrika au Olympic.
Kwanini serikali yako isitengeneze miundo mbinu wezeshi ili michezo ifanyike kwa kiwango kikubwa na tushindane kimataifa na kuletea taifa letu medali na sifa.
Kwahiyo mm nadhan unatakiwa kujenga/boresha viwanja . Na kila mkoa kuwe na kiwanja chenje kuhost kila mchezo.
Bill 1 kwa timu shiriki Ligi kuu zitaishia kwa wachache na pia zitapigwa.
Wezesha miundo Mbinu Bro.
Alaf Mh Raisi, mm unanipa sijui wizara gan kwenye Serikali yako.
Ni coincidence tu zipo video nyingine nimevaa mashati mengineDon
..... mbona hubadilishi shati
Don
..... mbona hubadilishi shati
Utazitoa wapiNikiwa Rais kabla ya ligi kuanza timu zitapewa billion 1 kwa ajili ya maandalizi na matumizi wakati msimu ukiendelea na hii itafanya timu zetu kuwa na ushindani na kiwango cha fedha kitaongezeka
View attachment 3333740
Kutoka serikalini kupitia wizara ya michezoUtazitoa wapi
Bro hebu tupe wizara.Kutoka serikalini kupitia wizara ya michezo
Wakatihuo serikali itakua imezitoa wapi au ndio Kodi za wanyongeKutoka serikalini kupitia wizara ya michezo
Michezo na league zinazotengeneza pesa hazitegemei pesa za serikali, michezo ni biashara kubwa sana, njoo na policies sio kutumia pesa za serikaliPesa itatoka serikalini kupitia wizara ya michezo
Hakuna unachojua saudi Arabia katumia mabilioni mpaka ligi yake kufika paleMichezo na league zinazotengeneza pesa hazitegemei pesa za serikali, michezo ni biashara kubwa sana, njoo na policies sio kutumia pesa za serikali
Unaumia serikali kutumia fedha kwenye kuwekeza kwenye mpiraWakatihuo serikali itakua imezitoa wapi au ndio Kodi za wanyonge
Nikusaidie CAG kila siku kwenye report yake analalamika mabilion ya fedha yanatumika ndivyo sivyo sasa baki hapo ukisema haiwezekaniHiyo bilioni ni hela au karatasi imeandikwa bilioni?
Mh Raisi.
Nina Hoja.
Kutoa fedha kwa timu za mpira tu sioni kama ina tija.
Maana Kuna michezo mingi. Netball, basketball, mbio, na mingine ming ambayo inafanyika mashindano ya kimataifa ya Afrika au Olympic.
Kwanini serikali yako isitengeneze miundo mbinu wezeshi ili michezo ifanyike kwa kiwango kikubwa na tushindane kimataifa na kuletea taifa letu medali na sifa.
Kwahiyo mm nadhan unatakiwa kujenga/boresha viwanja . Na kila mkoa kuwe na kiwanja chenje kuhost kila mchezo.
Bill 1 kwa timu shiriki Ligi kuu zitaishia kwa wachache na pia zitapigwa.
Wezesha miundo Mbinu Bro.
Alaf Mh Raisi, mm unanipa sijui wizara gan kwenye Serikali yako.
Mh Raisi.
Nina Hoja.
Kutoa fedha kwa timu za mpira tu sioni kama ina tija.
Maana Kuna michezo mingi. Netball, basketball, mbio, na mingine ming ambayo inafanyika mashindano ya kimataifa ya Afrika au Olympic.
Kwanini serikali yako isitengeneze miundo mbinu wezeshi ili michezo ifanyike kwa kiwango kikubwa na tushindane kimataifa na kuletea taifa letu medali na sifa.
Kwahiyo mm nadhan unatakiwa kujenga/boresha viwanja . Na kila mkoa kuwe na kiwanja chenje kuhost kila mchezo.
Bill 1 kwa timu shiriki Ligi kuu zitaishia kwa wachache na pia zitapigwa.
Wezesha miundo Mbinu Bro.
Alaf Mh Raisi, mm unanipa sijui wizara gan kwenye Serikali yako.
Mh Raisi.
Nina Hoja.
Kutoa fedha kwa timu za mpira tu sioni kama ina tija.
Maana Kuna michezo mingi. Netball, basketball, mbio, na mingine ming ambayo inafanyika mashindano ya kimataifa ya Afrika au Olympic.
Kwanini serikali yako isitengeneze miundo mbinu wezeshi ili michezo ifanyike kwa kiwango kikubwa na tushindane kimataifa na kuletea taifa letu medali na sifa.
Kwahiyo mm nadhan unatakiwa kujenga/boresha viwanja . Na kila mkoa kuwe na kiwanja chenje kuhost kila mchezo.
Bill 1 kwa timu shiriki Ligi kuu zitaishia kwa wachache na pia zitapigwa.
Wezesha miundo Mbinu Bro.
Alaf Mh Raisi, mm unanipa sijui wizara gan kwenye Serikali yako.
Kwa marefa wa Tanzania na bodi ya ligi wameshusha hamasa ya kwenda uwanjani kuangalia mpiraNikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajiki ya maandalizi ya na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa fedha itaongezeka
Multiplier effects ya mpira wa miguu ni kubwa sana kama kukiwa na uwekezaji
Team Dennis 255713520180
View attachment 3353557
Hao ni watu wadogo sanaKwa marefa wa Tanzania na bodi ya ligi wameshusha hamasa ya kwenda uwanjani kuangalia mpira
Tanzania tuna Bodi ambayo haitunzi kauli zao, (do not keep their words)
Anza kwa kutoa pesa kwenye ndondo hapo mtaani kwakoNikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajiki ya maandalizi ya na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa fedha itaongezeka