Kila timu inayoshiriki ligi ya mpira ya Tanzania itapewa sh billion 1 kama fedha ya maandalizi ya msimu

Itoshe kusema kura yangu umeshapata Mr President
 
Kula kulala katika ubora wako..... Hama hapo kwenu KENGE mkubwa.
 
Grand slum????
 
Yaani utoe bilion ambazo wavuja jasho wanlipia Kodi uwape hao wajinga we ufai kuwa raisi utazidisha hasara nyie Mnaokimbilia kuweka siasa kwenye mpira ndio mnajilimbikiziaga mabilioni ya fedha shenzi kabisa
 
Yaani utoe bilion ambazo wavuja jasho wanlipia Kodi uwape hao wajinga we ufai kuwa raisi utazidisha hasara nyie Mnapokimbilia kuweka siasa kwenye mpira ndio mnajilimbikiziaga mabilioni ya fedha shenzi kabisa
Wewe nijinga mbona kila siku zinanulia magari ya kifahari na hamlalamiki
 
Wewe nijinga mbona kila siku zinanulia magari ya kifahari na hamlalamiki
Ndio maana hatutaki lijinga kama wewe uwe raisi maana nyie majizi ya Mali za umma mnakimbiliaga kwenye mpira kuonga mabilioni Ili kuwapumbaza wananchi huku nyie mkwapue matirioni ya pesa bila kuulizwa kama wanavyofanya Sasa pumbavu fanya kazi uraisi huwezi kuupata umeonesha dalili ya wizi kama majizi menzako yaliopo madarakani
 
Mpira umeajiri watu wengi na una-multiplier effects kubwa sana ligi kama epl, nba, la liga zinaingizia nchi zao fedha nyingi sana

Watu wanapambana waandae worldçup, Olympic, leo hii watu kupitia mpira, riadha, boxing wanapata maisha unasema ni ujinga haki ya nani hii nchi tunasafari ndefu sana kama fikra ndo hizi
 
Billion 1 kwa kila timu itaondoa changamoto wanayopitia Tabora united kwa sasa kwa kushindwa kulipa wachezaji mishahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…