Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #61
Akili za watanzania zinafocus na mambo madogo madogo sasa unategemea nini na ndo hizo hizo kesho wanakuwa viongozi unategemea niniila we jamaa basi tu maaana mbavu znauma
mtukufu raisi utan kidogo usije mpelekea majeshi nyumbanAkili za watanzania zinafocus na mambo madogo madogo sasa unategemea nini na ndo hizo hizo kesho wanakuwa viongozi unategemea nini
Mbona nimeongea kawaida sanamtukufu raisi utan kidogo usije mpelekea majeshi nyumban
Hizi pesa unazitowa wapi?Nikiwa Rais kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa zaidi ya billion 1 kwa ajiki ya maandalizi ya na zile zinazoshiriki mashindano ya kimataifa fedha itaongezeka
Multiplier effects ya mpira wa miguu ni kubwa sana kama kukiwa na uwekezaji
Team Dennis 255713520180
View attachment 3353557
Ila watanzania kwanini ni wagumu sana kuelewaHizi pesa unazitowa wapi?
Hii inahitaji business plan kuonyesha mchakato wote, ina cover vitu vingi katika hatua tofauti na inatoa taswira pana ya mradi kwa muda fulani...
Unaweza kuwa na point, but too occupied!...
You'r not realistic, kuwa specific kwenye area moja,ipe time ya kutosha inaweza vutia attention, learn from your mistakes!