Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Jirani: Money penny njoo

Money penny: Mekuja jirani nambie

Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa

Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi

Money penny: Du, sasa utafanyaje?

Jirani: Hata sijui nifanyaje, kumwambia nataka nashindwa jambo la imani ni gumu sana ila tendo la ndoa lake traaaamuuu

Haya weee, wale wakatoliki wenzake na wakristo wengine muje mumsaidie
 
It depends.

1:Kama ndio mwanzo wa penzi:
Unaweeza jamaa anahisi ana jasho kali pale mwili wake unapochemka so ana hisi embarassed pale anapokuwa ana majasho ili asimuudhi mpenzi wake baada ya tendo.

2:Kama wameshazoeana
Basi huyo jamaa ni mazoea yake kufanya hivyo, hapendi mwili wake kuwa namna hivyo baada ya tendo

3: yupo interested and sensitive na mambo ya imani. So either mganga alimwambia au mtu muhimu wa imani maishani mwake (mama, mchungaji wake ,etc
 
1731592219704.jpeg
 
Kiukweli kuoga baada ya tendo ni lazima kwangu sio ombi siwezi lala na nata na maute asubuhi nitoe ukoko ndio maana wengi hawaishi ungojwa wa maporomoko/pumbu slide kwenye kende, na iunuka pumbu si unakuta lina manywele mengi halafu linalala na mambegu
 
Du
 
Kiru
 
Back
Top Bottom