Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
No my lady Money PennyJirani: Money penny njoo
Money penny: Mekuja jirani nambie
Jirani: Mepata bwana Mkatoliki, sa kila tukimaliza tendo la ndoa anakimbilia kuoga fastaa
Nikamwuliza shida nini, akasema amefundishwa kuwa tendo la ndoa ni dhambi, so akifanya anatakiwa aoge haraka kuondoa dhambi
Money penny: Du, sasa utafanyaje?
Jirani: Hata sijui nifanyaje, kumwambia nataka nashindwa jambo la imani ni gumu sana ila tendo la ndoa lake traaaamuuu
Haya weee, wale wakatoliki wenzake na wakristo wengine muje mumsaidie
mbususu ya jirani yako inatoa harufu kali sana hiyo, ila muungwana hataki kumwambia ukweli pisi kali.
Mwambie jirani yako akatibu pid 🐒