Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

Itakuwa anafuata mafundisho ya Ex President wa SA Jacob Zuma kama alivyoiambia mahakama kwnye kesi ya ubakaji iliyokuwa kimkabili
SA's Zuma 'showered to avoid HIV' (BBC News), 05 April 2006 | South African History Online

https://nation.africa/kenya/news/i-showered-to-reduce-hiv-risk-zuma-tells-rape-trial-514856
Ndefu sana
Turahisishie
 
Atakuwa amepewa mwongozo Toka mahali fulani au anatekeleza Mila zao,lkn Kwa si waislamu watakiwa kuoga janaba ila si lazima kwa haraka ivyo,bali mhimu sana kupata udhu baada ya tendo,kisha ukalala na baadae ndo ukaoga janaba.
 
Back
Top Bottom