Kila tukimaliza kufanya mapenzi, anakimbilia kuoga, shida nini?

Jaman anashindwa tu kumwambia kama mwanamke inatakiwa awe msafi,Kuna harufu ya shombo jamaa anashindwa kuivumilia
Kwahiyo we ukifanya huwa hauogi?
 
Huyo jamaa ndio mimi, nikipiga cha kwanza naenda kuoga natulia kidogo nakula kirosho mbili tatu napanda tena napiga cha pili, naenda kuoga tena, nakunywa maji lita moja kisha napanda tena napiga cha tatu . Naenda kuoga tena kisha stori mbili tatu na mamaa nalala kesho mzigoni.
 
Labda kukojoa lakini kuoga sio kwa muda huo huo pia inategemea mazingira ..Ile harufu og ya k inavutia ila ukikutana na kurumbembe chumba kinageuka kuwa bucha ya samaki, na mwili unageuka kuwa samaki mtupu hapo Kwann usikimbilie kuoga..maana samaki yake maji
 
Anashindwa kumwambia ukweli hapendi harufu ya kipapa. Kama ni dhambi anaenda kuungama kwa paroko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…