Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

Kila ukitaka walaumu wazungu/mabeberu kuhusu Afrika kuchezewa basi usisahau kwamba kuna CCM ,Katiba mpya ni sasa

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Nimekaa nimewaza sana nikafika mpaka kuwalaumu Wazungu na Mabeberu kwa propaganda na mambo yanayoendelea Africa..

Mwisho nikakumbuka tatizo ni Wa Africa wenyewe kila Nchi viongozi wake hupambana kwa Ajili ya Wananchi wake kwa Namna yoyote ile .

Kwa Tanzania nitakuwa mnafiki kama sitatupia lawama CCM kwa hapa tulipo fikia .

Baada ya miaka zaidi ya mika 60 ya uhuru nchi bado mikoa ya maziwani hawana maji ya uhakika, umeme hakuna wa uhakika ,miundombinu duni , huduma za Afya ,elimu bado tuko Nyuma .

TUNAHITAJI SANA KATIBA MPYA lakini sioni ikipatikana tumuombe amfanyie wepesi Mama atupe katiba mpya ninajua anaweza jambo

Tuendelee kukumbushana hata katika vikao vya familia kwamba tunahitaji katiba mpya huende kelele zetu zitasikika .
Mungu ibariki Tanzania​
 
Back
Top Bottom