Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,021
unaziweka kama playlist ya .strmNaomba kuuliza wakuu nimeweka hii Kodi kuna Mahali nimeona TV sasa television za Tanzania nitawezaje kuziweka kwenye Kodi?
Asante mkuuunaziweka kama playlist ya .strm
playlist hii hapa
https://www.jamiiforums.com/attachments/bongotv-strm-zip.613296
uta extract na kupata file linaloishiwa na .strm
utaenda kwenye kodi kisha kwenye video kisha uta add source halafu utabrowse hadi mahala lilipo file lako la .strm kisha utaclick ok. chanell zote zitaingia kwenye kodi yako.
hilo ni file la zip, ni kama kapu la kuhifadhia vitu, nimelieka hivyo sababu jf hairuhusu ku upload file la .strm moja kwa moja.Mkwawa Mimi mchanga kwenye extract naomba hatua kidogo za kufika kwenye Kodi kukopi ninaweza,elekeza tu kama chekechea
mkuu natumia simu itel 32hilo ni file la zip, ni kama kapu la kuhifadhia vitu, nimelieka hivyo sababu jf hairuhusu ku upload file la .strm moja kwa moja.
unatumia simu ama pc?
ku extract kwa simu nenda playstore download app inaitwa es file explorer.mkuu natumia simu itel 32
ni quality. kuna quality nyingi nyingi kamaWakuu ukiwa unaangalia mpira live kuna namba naziona hapa yaani 480sd tafsiri take ni ipi
Asante mkwawa vipi nawezaje kuongeza ili ziwe 1080p ?
kwa ajili ya mpira au kawaida tu?hatari nielekeze tu siku moja nitapata njuruku
Kwa ajili ya mipira tu mkwawakwa ajili ya mpira au kawaida tu?