Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Naomba kuuliza wakuu nimeweka hii Kodi kuna Mahali nimeona TV sasa television za Tanzania nitawezaje kuziweka kwenye Kodi?
unaziweka kama playlist ya .strm

playlist hii hapa

https://www.jamiiforums.com/attachments/bongotv-strm-zip.613296

uta extract na kupata file linaloishiwa na .strm

utaenda kwenye kodi kisha kwenye video kisha uta add source halafu utabrowse hadi mahala lilipo file lako la .strm kisha utaclick ok. chanell zote zitaingia kwenye kodi yako.
 
Mkwawa Mimi mchanga kwenye extract naomba hatua kidogo za kufika kwenye Kodi kukopi ninaweza,elekeza tu kama chekechea
 
Mkwawa Mimi mchanga kwenye extract naomba hatua kidogo za kufika kwenye Kodi kukopi ninaweza,elekeza tu kama chekechea
hilo ni file la zip, ni kama kapu la kuhifadhia vitu, nimelieka hivyo sababu jf hairuhusu ku upload file la .strm moja kwa moja.

unatumia simu ama pc?
 
mkuu natumia simu itel 32
ku extract kwa simu nenda playstore download app inaitwa es file explorer.

kisha utafungua hio app na kutafuta file lako la .zip, mara nyingi utalikuta folder la downloads (itategemea umelidownload na nini)

kisha utalihold na kuclick zile dots tatu na kuchagua extract kisha utabonyeza ok, litatokea folde jipya lenye jina sawa na lile file la zip, ukiingia ndani ya hilo folder utakuta file lako la .strm
 
Wakuu ukiwa unaangalia mpira live kuna namba naziona hapa yaani 480sd tafsiri take ni ipi
 
Wakuu ukiwa unaangalia mpira live kuna namba naziona hapa yaani 480sd tafsiri take ni ipi
ni quality. kuna quality nyingi nyingi kama
-240p
-360p
-480p (sd)
-720p (HD)
-1080p (full HD) etc

wakiandika 480p inamaana idadi ya pixel ya hio video ni 480 kwa urefu.
 
Asante mkwawa vipi nawezaje kuongeza ili ziwe 1080p ?

una kifurushi mkuu? maana 1080p inakula bando balaa. zaidi ya 1gb kwa saa moja.

pia utahitaji huyo anaekuoa stream awe anasupport hio quality. mfano youtube inakubali 1080p.
 
Nimedownload hii app lakini nikaambiwa sign nikaendelea kusign Maneno yanayojitokeza ni haya free pia upgrade then sign out hatua inayofuata haioneshi.Pia nime paste hiyo link kwenye vcl inaleta ujumbe can't play this link
 
Back
Top Bottom