Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,021
unaziweka kama playlist ya .strmNaomba kuuliza wakuu nimeweka hii Kodi kuna Mahali nimeona TV sasa television za Tanzania nitawezaje kuziweka kwenye Kodi?
playlist hii hapa
https://www.jamiiforums.com/attachments/bongotv-strm-zip.613296
uta extract na kupata file linaloishiwa na .strm
utaenda kwenye kodi kisha kwenye video kisha uta add source halafu utabrowse hadi mahala lilipo file lako la .strm kisha utaclick ok. chanell zote zitaingia kwenye kodi yako.