Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #2,041
acestream haina sign in. seems kuna mahala umekosea au inaleta uhuni fulani wa kukudirect kwenye matangazo. itoe hio ulioeka.Nimedownload hii app lakini nikaambiwa sign nikaendelea kusign Maneno yanayojitokeza ni haya free pia upgrade then sign out hatua inayofuata haioneshi.Pia nime paste hiyo link kwenye vcl inaleta ujumbe can't play this link
Jaribu neptune rising ama placentaNimejaribu kufuata kila hatua ya maelekezo yaliwekwa humu na yaliyowekwa youtube kufanya installation kwenye PC yenye Win 64bit hakuna "addon" iliyokubali kuplay.
Kama kuna siri naomba ushauri.
Ikiwa inafanya installation ya addons kuna baadhi ya installion packages zinareport error. Lakini hata zisizoreport error wakati wa installation zinareport error wakati wa kuplay.
I thought may be ziko blocked na network za China lakini nimewasha VPN tatizo likabaki palepale.
Tembelea huu uzi kuna playlist ya kodi ya chanell za tz niliweka.Nawezaje kustream channels za bongo na nyngnezo kwa kodi kama ninavyostrem kwa vlc?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mzee nimeonaTembelea huu uzi kuna playlist ya kodi ya chanell za tz niliweka.
Post ya 25
Kuweka IPTV Katika Receiver - JamiiForums
Kodi bado inapiga mzigo?
Hizo playlist si zilikufa link zakeTembelea huu uzi kuna playlist ya kodi ya chanell za tz niliweka.
Post ya 25
Kuweka IPTV Katika Receiver - JamiiForums
Sijazicheki, za azam zimekufa?Hizo playlist si zilikufa link zake
Ngoja nitacheck maana kitambo sanaSijazicheki, za azam zimekufa?
Tumia reddit.Ni site gani nzuri ya kuangalia soka nzuri direct kama ilivyokuwa www.goatdee.net? Kwa sasa hii site ipo blocked
Tumia reddit.
Search neno reddit soccer stream google
Ingia hio site ya reddit wakati wa mpira utaona kila mechi ina thread yake,
Ingia mechi husika utapata links kibao kwa quality tofauti wewe tu na budle yako.