Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

kama ni simu download browser inaitwa brave, ina built in adblocker ya ukweli.

chrome ya simu haina adblocker ya maana.
Chiefs msaada app nzuri kudownload movies na tv series hasa za telenova. Hata site kama unazijua. Thanks in advance chief
 
Telenova Ndio Telemundo? Reliable source ni YouTube,

Kwa movies na series tumia cinema HD
Vipi mkuu! Naomba unisadie, kutazama tv live broadcasting kama ITV au Azam tv kupitia facebook au YouTube, njia ipi inakula bando zaidi?

Na wastani inaweza kuwa GB ngapi kwa saa?

Asante mkuu.
 
Vipi mkuu! Naomba unisadie, kutazama tv live broadcasting kama ITV au Azam tv kupitia facebook au YouTube, njia ipi inakula bando zaidi?

Na wastani inaweza kuwa GB ngapi kwa saa?

Asante mkuu.
Inayokula bando zaidi ni quality mkuu. Hii ni average mb kwa dakika kwa kila quality

kwa youtube
-144p hawajasema my guess around 100mb kwa saa

Hizi quality mbalimbali juu ha hapo
  • 240p: 225MB per hour
  • 360p: 315MB per hour
  • 480p: 562.5MB per hour
  • 720p at 30FPS: 1237.5MB (1.24GB) per hour
  • 720p at 60FPS: 1856.25MB (1.86GB) per hour
  • 1080p at 30FPS: 2.03GB per hour
  • 1080p at 60FPS: 3.04GB per hour
  • 1440p (2K) at 30FPS: 4.28GB per hour
  • 1440p (2K) at 60FPS: 6.08GB per hour
  • 2160p (4K) at 30FPS: 10.58GB per hour
  • 2160p (4K) at 60FPS: 15.98GB per hour
Hivyo mkuu kama Una internet ya ukweli inayozidi 40mbps wanakupa 4k automatic inakula bando la kutosha. Sweetspot kwa bundle/quality ni hio 480p Sababu hata TV zetu nyingi hazina quality kubwa kushinda hapo.

kwa Facebook
Facebook hawana official data ila Nita assume ni same Sababu video ni zile zile tu.

av1 codecs
Hizi ni codecs mpya, sina uhakika kama hio stream inasupport ama la ila unaweza weka link nikakutestia kama unaweza pata hizi codecs ila inapunguza ulaji wa mb kupita maelezo.
 
Asante sana mkuu. Umenipa shule kubwa sana. Ubarikiwe.
 
Nilijaribu hii biashara ya live stream TV app nikaambulia kufungiwa na google due to intellectual property copyright, mpaka sasa sijapata suruhu.
 
Nilijaribu hii biashara ya live stream TV app nikaambulia kufungiwa na google due to intellectual property copyright, mpaka sasa sijapata suruhu.
Kuna app zinabypass kama hii kodi ama stremio, zipo playstore hazistream mpira ila ukizidownload unadownload plug-ins baadae.
 
Nilijaribu hii biashara ya live stream TV app nikaambulia kufungiwa na google due to intellectual property copyright, mpaka sasa sijapata suruhu.
channels zako zina play kwenye 3g connection una uk sport usa canada channels bila buffering
 
Mkuu Chief-Mkwawa Naomba msaada ni App gani nzuri naweza ku install kwenye Android TV ili niweze kuangalia live games (Soccer)?
 
Mkuu Chief-Mkwawa Naomba msaada ni App gani nzuri naweza ku install kwenye Android TV ili niweze kuangalia live games (Soccer)?
Issue ya Android TV mkuu ni matangazo, kuskip matangazo kwenye TV ni kazi moja ngumu na inakera sana

Jaribu hawa wana app ya Android tv
 
Nimefanya subscription ya iptv for one year, wamenitumia configuration za kuondoa buffering, Should I proceed to run them? Still hesitating because I see it as impossible
 
Mkuu ile premium iptv yako ina piga mzigo? Ama bado magumashi.
AISEE NILIBAHATIKA KUPATA KA LINKS ZA BT SPORT NA SKY SPORT ZOTE YAAN NO BUFFERING ZINAPIGA MZIGO NIAKATENGENEZA KA M3U FILE NATUMIA TVMATE UPANDE WA MUSICVIDEO CHANNELS NAZO VEVO MUSIC CHANNELS NA TRACE TV ZILE ZA NJE SIO HIZI ZA DSTV ZOTE HD
 
Back
Top Bottom