Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Unaweza ila matangazo, mimi naitumia hii kwa pc lakini na siku zote huwa unaangalia mpira mpaka unaisha bila matatizo, hata ikikwama labda mara 1 ama 2 tena mechi kubwa.
Kwa PC Hakuna Matangazo? unafanyaje kuzuia Matangazo?
 
Kwa PC Hakuna Matangazo? unafanyaje kuzuia Matangazo?
Unaweka ad blocker, browser nyingi za simu ad blocker zake ni weak tofauti na pc.

Firefox ad blocker inakuwa ile ile ila sidhani kama browser yao ipo optimized na TV, unaweza kujaribu.
 
AISEE NILIBAHATIKA KUPATA KA LINKS ZA BT SPORT NA SKY SPORT ZOTE YAAN NO BUFFERING ZINAPIGA MZIGO NIAKATENGENEZA KA M3U FILE NATUMIA TVMATE UPANDE WA MUSICVIDEO CHANNELS NAZO VEVO MUSIC CHANNELS NA TRACE TV ZILE ZA NJE SIO HIZI ZA DSTV ZOTE HD
unaweza nisaidia hizo link?
 
So mkuu ni chanel ipi hsa humu ni ya kucheki live football kama uefa etc,Europe etc coz naona kuna channeli ngingi sna
Bein sport unaangalia ligi ya uingereza, kwa UK ni skysport na BT sport kama utaelewa kingereza Chao, kwa US NBCSn sports.
 
IPTV CHANNELS MOVIES, SPORT, NEWS, LIFESTYLE,MUSIC ,ADULT(porno) UWE NA UNLIMITED INTERNET

LINK: BIGBOI

KAMA UNATUMIA ANDROID BOX WEKA HILO FILE KWENYE FLASH KALIWEKE KWENYE IPTV APP YAKO

KAMA PC RIGHT CLICK OPEN WITH VLC NA RECOMMEND SOFTWARE YA POTPLAYER

NIKIPATA NEW CHANNELS NTAKUWA NA UPDATE ENJOY
 
Chief nipe plug in ambayo nitaweza ihifadh na kupat chanel za movies na mipra plz now nilishaanza kuisahau hii huduma now naitak
 
Sijazijaribu ila kunakuwa na poll, hapo oath ipo juu inawezekana ikawa nzuri kuliko zote.
Mkuu nimeinstall moja ya michezo ila kuna kitu sijakielewa nikiingia live score mechi dakika ya 60 huko game ya gamba osaka ika niingia kwa kodi ile nimeistall sports hd huko game naikuta iko dakika ya 30 hivi na pale kuna kipengele cha live event ,sports ukifungua kote iko dakika hio hio je nn tatzo hapo ,manake target yangu niwe naangalia online tu madudekiongozi hasa epl
 
Subiria mechi kubwa mkuu, ndio Utajua Kama ni live, sifahamu kwa nini hio match ipo hivyo.
 
Back
Top Bottom