Kwa PC Hakuna Matangazo? unafanyaje kuzuia Matangazo?Unaweza ila matangazo, mimi naitumia hii kwa pc lakini na siku zote huwa unaangalia mpira mpaka unaisha bila matatizo, hata ikikwama labda mara 1 ama 2 tena mechi kubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa PC Hakuna Matangazo? unafanyaje kuzuia Matangazo?Unaweza ila matangazo, mimi naitumia hii kwa pc lakini na siku zote huwa unaangalia mpira mpaka unaisha bila matatizo, hata ikikwama labda mara 1 ama 2 tena mechi kubwa.
Kwa simu ni app gani mzuri!?Unaweza ila matangazo, mimi naitumia hii kwa pc lakini na siku zote huwa unaangalia mpira mpaka unaisha bila matatizo, hata ikikwama labda mara 1 ama 2 tena mechi kubwa.
Unaweka ad blocker, browser nyingi za simu ad blocker zake ni weak tofauti na pc.Kwa PC Hakuna Matangazo? unafanyaje kuzuia Matangazo?
Jaribu hio aos TV Niliyo weka juu, ina version ya simu na TV.Kwa simu ni app gani mzuri!?
Shukran mkuu ingawa kuna channeli humo ni ngono kwa kwenda mbele.Jaribu hio aos TV Niliyo weka juu, ina version ya simu na TV.
So mkuu ni chanel ipi hsa humu ni ya kucheki live football kama uefa etc,Europe etc coz naona kuna channeli ngingi snaJaribu hio aos TV Niliyo weka juu, ina version ya simu na TV.
unaweza nisaidia hizo link?AISEE NILIBAHATIKA KUPATA KA LINKS ZA BT SPORT NA SKY SPORT ZOTE YAAN NO BUFFERING ZINAPIGA MZIGO NIAKATENGENEZA KA M3U FILE NATUMIA TVMATE UPANDE WA MUSICVIDEO CHANNELS NAZO VEVO MUSIC CHANNELS NA TRACE TV ZILE ZA NJE SIO HIZI ZA DSTV ZOTE HD
Bein sport unaangalia ligi ya uingereza, kwa UK ni skysport na BT sport kama utaelewa kingereza Chao, kwa US NBCSn sports.So mkuu ni chanel ipi hsa humu ni ya kucheki live football kama uefa etc,Europe etc coz naona kuna channeli ngingi sna
Duh sijaangalia mkuu, nimeona mahala imekuwa recommended nikaiweka na humu.Shukran mkuu ingawa kuna channeli humo ni ngono kwa kwenda mbele.
Shukran sana chief, so final ya uefa safari hii nashuhudia kwenye kilonga longa changu[emoji4]Bein sport unaangalia ligi ya uingereza, kwa UK ni skysport na BT sport kama utaelewa kingereza Chao, kwa US NBCSn sports.
Natak niinstll tena hii huduma kwa simu yangu kiongozi naomba nikumbushe link ya kupakua ile file kwanza kisha nianze kuinstall zile zip fileDuh sijaangalia mkuu, nimeona mahala imekuwa recommended nikaiweka na humu.
Za movieChief nipe plug in ambayo nitaweza ihifadh na kupat chanel za movies na mipra plz now nilishaanza kuisahau hii huduma now naitak
Sijazijaribu ila kunakuwa na poll, hapo oath ipo juu inawezekana ikawa nzuri kuliko zote.Mkuu nimeinstall the oath ,pekee je ni bora kati ya zote kwa kundi hili
Mkuu nimeinstall moja ya michezo ila kuna kitu sijakielewa nikiingia live score mechi dakika ya 60 huko game ya gamba osaka ika niingia kwa kodi ile nimeistall sports hd huko game naikuta iko dakika ya 30 hivi na pale kuna kipengele cha live event ,sports ukifungua kote iko dakika hio hio je nn tatzo hapo ,manake target yangu niwe naangalia online tu madudekiongozi hasa eplSijazijaribu ila kunakuwa na poll, hapo oath ipo juu inawezekana ikawa nzuri kuliko zote.
Subiria mechi kubwa mkuu, ndio Utajua Kama ni live, sifahamu kwa nini hio match ipo hivyo.Mkuu nimeinstall moja ya michezo ila kuna kitu sijakielewa nikiingia live score mechi dakika ya 60 huko game ya gamba osaka ika niingia kwa kodi ile nimeistall sports hd huko game naikuta iko dakika ya 30 hivi na pale kuna kipengele cha live event ,sports ukifungua kote iko dakika hio hio je nn tatzo hapo ,manake target yangu niwe naangalia online tu madudekiongozi hasa epl
Well asante acha niendelee kuinstall zingineSubiria mechi kubwa mkuu, ndio Utajua Kama ni live, sifahamu kwa nini hio match ipo hivyo.
Ipi ambayo directly nikiistall nitazipata aidha bein sport au canal sportWell asante acha niendelee kuinstall zingine