Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Watu8 nashukuru sana mkuu nimefanikiwa kuingiza azam two, thanx, jamaani watu wataalam wetu wa it, wangekuwa kama wanaopatikana humu jf, Tz, ingekuwa mbali sana, kwani hata watu wa hgl, unafuata maelekezo hadi unaweza!! wengi ni watu wa uchoyo tu, kama wachawi, kitu kidogo tu mala ni pm!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna plugin ya mpira inaitwa devilsport hii ni kombakomba, haina chanell za hd ila ina maelfu ya chanell kutoka website zote maarufu za mpira kama firstrow, rojadirecta, livetv.ru nk

Kama umechoka na matangazo ya website na internet ipo slow tumia hii plugin.

https://seo-michael.co.uk/how-to-manually-install-sportsdevil-on-xbmc/?_e_pi_=7,PAGE_ID10,3406763772

Mkuu ni sportsdevil sio devilsport... Me nilikuwa nayo ila nikaona kama ya kizushi ngoja niinstall tena niicheki kwa kina kama ni nzuri
 
Mkuu ni sportsdevil sio devilsport... Me nilikuwa nayo ila nikaona kama ya kizushi ngoja niinstall tena niicheki kwa kina kama ni nzuri

Yap lugha tena si unajua, quality si nzuri ila chanell ni nyingi jana ndo nimeangalizia mechi kwenye chanell za kirusi
 
Mkuu ni sportsdevil sio devilsport... Me nilikuwa nayo ila nikaona kama ya kizushi ngoja niinstall tena niicheki kwa kina kama ni nzuri

Kuna updated addon ya Sportsdevil iliyotoka June...

Infact zilitoka mbili, hii aliyoiweka Chief na nyingine pia...

Binafsi hii sijaijaribu ila hiyo nyingine nimekuwa nayo toka hiyo June...

Kuna links bado zinasumbua lakini zipo nyingine zinazofanya kazi vizuri...

Kama unakumbuka Sportsdevil ilikuwa down muda mrefu ila kwa sasa kurudi japo kwa links chache si mbaya...

Kitu kingine ni kuwa kama una Sportsdevil na IP Stalker (najua unayo hii kuna mahali niliona umeandika), unaweza kuinstall TV Directo addon...

TV Directo inachofanya ni kufetch zile links zilizopo kwa IP Stalker na Sportsdevil na kuzistream moja kwa moja...
 
Ndio iptv stalker ninayo sema ni ya kulipia imekata now, vipi nikitumia hiyo TV Directo ntapata links za iptv stalker hata kama imejifunga?
 
Ndio iptv stalker ninayo sema ni ya kulipia imekata now, vipi nikitumia hiyo TV Directo ntapata links za iptv stalker hata kama imejifunga?

Hahaha hapana mkuu...

Hakuna namna ya kuitumia sasa pasipo kulipia kwa zile channels za US/UK...

Ila kuna baadhi ya channels za Kilatino zinapatikana (kimsingi hizi hazina mvuto)...
 
Hahaha hapana mkuu...

Hakuna namna ya kuitumia sasa pasipo kulipia kwa zile channels za US/UK...

Ila kuna baadhi ya channels za Kilatino zinapatikana (kimsingi hizi hazina mvuto)...

Hahaha poa mkuu...... Halafu ingia hapa kuna links za bein sports katika mfumo wa .m3u8 http://free-links-iptv.blogspot.com/2015/01/links-iptv-bein-sport-hd.html?m=1 halafu nimedownload notepad++ ila nadhani extension ya .strm unaingiza manually coz sijaiona, naomba unipe ujuzi ili nisiwe nakusumbua vitu vya kijinga
 
Halafu ingia hapa kuna links za bein sports katika mfumo wa .u3m8 http://free-links-iptv.blogspot.com/2015/01/links-iptv-bein-sport-hd.html?m=1

Nitapita huku kutazama kunani...

Ila mara nyingi channels za Bein huwa natazama endapo kuna mechi na huwa naingia mitandao ya kiarabu (yalla-shoot.com/live au yallakora-online.com)

halafu nimedownload notepad++ ila nadhani extension ya .strm unaingiza manually coz sijaiona, naomba unipe ujuzi ili nisiwe nakusumbua vitu vya kijinga

Naam huwa haina extention ya .strm wala .m3u

Isipokuwa unapo save as, pale unapoandika file name mathalani jina la file unaliita franco, unapaswa kuliandika franco.strm au franco.m3u...

Sehemu ya Save as type unaweka 'All types'...

Hapo mambo yako yatakuwa swafiiii....
 
Nitapita huku kutazama kunani...

Ila mara nyingi channels za Bein huwa natazama endapo kuna mechi na huwa naingia mitandao ya kiarabu (yalla-shoot.com/live au yallakora-online.com)

Naam huwa haina extention ya .strm wala .m3u

Isipokuwa unapo save as, pale unapoandika file name mathalani jina la file unaliita franco, unapaswa kuliandika franco.strm au franco.m3u...

Sehemu ya Save as type unaweka 'All types'...

Hapo mambo yako yatakuwa swafiiii....

Asante sana mkuu nimekuelewa
 
Kwa wenye simu za Android mobdro ni nzuri sana hasa kama Tv yako Ian feature ya Screen mirroring hauhitaji waya wa HDMI kuunganisha halafu hutumii mb nyingi ni nzuri sana na kila aina ya channel za sports, Movie na nyingine nyingi.
www.mobdro.com
 
Hivi hapa Dar es salaam ni wapi naweza kupata micro USB to HDMI Cable/adapter. Hii itatusaidia sie ambao simu zetu au tv zetu hazi support Screen mirroring[h=1][/h]
 
Asante sana Chief-Mkwawa.

Kama kuna shule na ujuzi uliokuwa ukinihangaisha kwenda nao sawa, ulikuwa ni huu, IPTV. Kupitia bandiko lako, nimetoka sifuri hadi mafanikio (nimeweza kufungua Sky Sports 1). Naamini nitapata channel nyingi zaidi kadri nitakavyoendelea kujipambanua na hii kitu mpya na murua kwangu, IPTV.

Kitu kingine nilichogundua katika upya wangu ni kwamba Kodi inaweza kukutafutia na kushusha (download) plugins zinazozihatajika pale unapokwama. Na kwamba, latest version ya Kodi iko toafuti kidogo na interface ya version za nyuma hivyo usife moyo unapoona screenshots za hatua za kufuata zipo tofauti na unachokiona. Fuatilia Kodi kwa upole na punde utaweza kuendelea.
 
WADAU...................... Bravo kwa hii makitu. Thank you for opening my eye...................... bravo bravo chief + wamavoko.
 
Ahsante Chief-Mkwawa, Njunwa Wamavoko na Watu8 nimejitahidi kitu KODI kimekubali naweza kupata channel kama aljazeera na zingine za ulaya kupitia Paki India ila hii hapa vdtube25 nimeshindwa kuipata kama alivyoelekeza Chief-Mkwawa kwani nimekwenda process zote nimeishia hapa kwenye XUNITY TALK REPOSITORY (add-on enabled alafu ikapotea) kisha ikaja kama hapa chini

My add-ons

Install from repository

Install from zip file

Search

System

BADALA YA HII CHINI KAMA INAVYOONYESHWA KWENYE TUTORIAL

Check for updates

Disabled Add-ons

Get Add-ons

Install from zip file

Search

HAPO NDIO NIMEKWAMA HAIJI YA CHINI ILI NI-SELECT get add-ons badala yake inakuja ile ya juu inayoanza na my add-ons na niki-click install from zip file inanirudisha nyuma kwenye ku-select XUNITY then XUNITY TALK REPOSITORY

CALL FOR HELP PLEASE

Malizieni maana mmenipa madini ya kutosha mwanafunzi nimeweza imebaki kidogo tu nifanikiwe
 
Mkuu hii kitu ipo complicated cha msingi install paki india add-on na utapata bein sports zote

Ahsante mkuu, nimeziona zipo kama 10 hivi, kwahiyo hapa hata kama nitakuwa kijijini Malampaka nakula soka live kutokea kwenye laptop, thanks JF
 
Mkuu hii kitu ipo complicated cha msingi install paki india add-on na utapata bein sports zote

Bahati mbaya kwenye kimeo changu TECNO pak india haipo nadhani kutokana na jinsi nilivyo-install kwani kuna option mbili kwa android yaani kuna moja ile inayoishia na x86 (hii haipo compartible na imeo changu) ikabidi ni install ile ya kwanza matokeo yake add-ons zote za KODI zipo kama zilivyo kwenye my PC ila ikifika kwenye PAK India inakuwa haipo na baadhi ya add-on
 
Hivi hapa Dar es salaam ni wapi naweza kupata micro USB to HDMI Cable/adapter. Hii itatusaidia sie ambao simu zetu au tv zetu hazi support Screen mirroring

Ninatumia mobdro kwenye simu yangu na nataka niweze kuunganisha kwenye tv. Hizi ndio cable nuaulizia upatikanaji

wake hapa Dar

AINA YA KWANZA

MHL-to-HDMI-adapter-sm-07-1.jpg

AINA Y PILI

192442-STARTECH-MHL-Adapter-Converter-Micro-USB-to-HDMI-01.jpg

NAMNA YA KUUNGANISHA
https://www.youtube.com/watch?v=jEEVaGPV7WU
 
Back
Top Bottom