Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Mkuu nimekusaidia zaidi, fungua hii link hapo chini na udownload file ambalo nimeshaweka .strm extention...

Lihifadhi katika folder kwa kompyuta yako na uendelee na process nyingine kama nilivyoelekeza awali...

https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRTFE5REFJdXFsdTg/view?usp=sharing

Dah!!!!! Mkuu ushukuriwe sana kwa msaada wako, yani kama ulijua tu maana huku kubadili tu extension ilikuwa kimbembe aisee, yani mimi kama mdau wa hili jukwaa nimethamini mchango wako na nakupandisha cheo we uko level za wakina chief mkwawa, big up man now nacheki azam on kodi
 
Karibu tena mkuu...

Pamoja sana nafikiri watumie hii option zaidi naona channel ikiwa SD hata net iwe slow vipi una stream tu

Hii njia ni rahisi isipokuwa namna ya kuzitambua hizi links ni kazi kidogo...

Binafsi ilinichukua masaa kadhaa hadi kuziweka sawa maana inabidi upate 'host na stream' katika source file ya website inayostream...

Naomba kama una stream ya channel ya start v naiomba

Ya Star TV ninayo mkuu ila huwa kuna wakati wale jamaa wanatoka hewani kama kipindi hiki cha karibuni naona hawapo hewani...

rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp

Najua wewe ni mkongwe utaweza kuiweka hiyo link kwa .strm file...
 
Hii njia ni rahisi isipokuwa namna ya kuzitambua hizi links ni kazi kidogo...

Binafsi ilinichukua masaa kadhaa hadi kuziweka sawa maana inabidi upate 'host na stream' katika source file ya website inayostream...

Ya Star TV ninayo mkuu ila huwa kuna wakati wale jamaa wanatoka hewani kama kipindi hiki cha karibuni naona hawapo hewani...

rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp

Najua wewe ni mkongwe utaweza kuiweka hiyo link kwa .strm file...

Ok pamoja kuna na hizi za Husham ulizotoa link ilopita zitafaa kwa kutengeneza .strm file?

Mfano mm nataka ku load hii Link na sitaki kutumia PVR IPTV Simple client

https://raw.githubusercontent.com/hmemar/husham.com/master/Lists/uk-english.m3u

update!

Lengo langu ilikua nikutengeneza custom channel list nakuondoa zile ambazo siziangalii
Ila naona hata PTV IPTV Simple client inaweza ku load custom file m3u ambayo una unaitengeneza mwenyewe na kuweka list ya channel unazoangaliaga tu
 
Mkuu kwa kutazama content ya links ulizonitumia kwa haraka naona itakuwa ngumu kutengeneza .strm kwa kila channel...maana nikijaribu kuzitazama sioni source ya stream ni ipi...

Isipokuwa unaweza kuzitazama kwa kufuata mtiririko ule ule ambao nimeelekeza kwa ile Azam TV isipokuwa sasa hivi utazi-save kwa extention ya .m3u (hii ni mahsusi kama una playlist ya channel zaidi ya moja)...

Hii link uliyonitumia copy kila kitu unachokiona na kiweke katika text file na kisha lisave hilo file kwa extention ya .m3u...

Then ukiwa kwa Kodi tumia mtindo ule ule wa mwanzo nilioelekeza wa ku-add .strm file

This time utapata list ya channels badala ya channel moja pekee...

NB:
Kama kuna channels ambazo huzihitaji ina maana utazifuta wakati ule unatengeneza file la m3u.
 
Yeah nshaisoma fresh Mm nilichofanya ni kama inavyooonekana kwenye hii picha

FN4x4F.png

Hapa ntatengeneza custom List ya channel nazopenda tu, achana na zile m3u unapakua unakuta channel 200 unashindwa uangalie ipi uache ipi na mpaka upate channel unayotaka nayo ni shida pia
Kuna Kipindi nilisha load mpaka channel zikawa book ikawa ni tabu kutafuta channel yako nzuri ipo namba ngapi

Results zangu kutumia PVR IPTV Simple client hizi hapa chini

cMURUM.png
 
Hii nzuri mkuu na nimeipata vyema...

Zaidi mtihani mkubwa ambao nimekuwa nikihangaika nao bila mafanikio ni kuziweka kwa Kodi tv kadhaa za Kenya ambazo zipo online kama Citizen, NTV, K24 na hata pia CloudsTV...

Naziomba hizo Local Mkuu kama una URL zake

Nineshangazwa na Stream ya AZAM TV ilivo smooth I see,sijui wamefanya manouver gani?
Maana nkigusa hizi za Ulaya same Quality ila majibu yake sio mazuri nkilinganisha na hii ya Azam
 
Am impressed na hicho kidude

Kuhusu Internet Nakuhakikishia kama upo DSM Providers kama Zantel,Vodacom na AirteL wata meet demands zako katika Upande wa 3G

Ukitembelea ile link alotoa Chief watu wameweka speed test kadhaa na ukifatilia utaona mtandao wa Airtel na Zantel inaonesha kuwa na Ping speed ndogo hivo inafaa

Zantel wanayo bundle ya 25,000/= per month na 45GB nafikiri
Inaweza kukufaa hiyo maana nahisi ndo cheapest yet speed yao ni competitive

Kama una hela ya ziada kuweka waweza consider Side B ya 4G hapa utawakuta wakina Smart,Tigo na Smile

Mkuu hiki kifurushi bado kipo kweli?
 
Naona IDM inasema download this video ila uki click hiyo button inakua ni kama ime capture tu video kibao
Maelezo zaidi jinsi ya kuzi capture hizo
Yap fanya kama unadownload idm itaprompt kama hivi

download-prompt.jpg

Juu kabisa ya hio prompt kuna neno url kwa hizo tv za kenya utaona kumeandikwa maneno kama livestream.akamaihd.......

Copy hio url ndio direct link
 
Back
Top Bottom