franco15
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 518
- 208
Mkuu nimekusaidia zaidi, fungua hii link hapo chini na udownload file ambalo nimeshaweka .strm extention...
Lihifadhi katika folder kwa kompyuta yako na uendelee na process nyingine kama nilivyoelekeza awali...
https://drive.google.com/file/d/0B16EjXCF75lRTFE5REFJdXFsdTg/view?usp=sharing
Dah!!!!! Mkuu ushukuriwe sana kwa msaada wako, yani kama ulijua tu maana huku kubadili tu extension ilikuwa kimbembe aisee, yani mimi kama mdau wa hili jukwaa nimethamini mchango wako na nakupandisha cheo we uko level za wakina chief mkwawa, big up man now nacheki azam on kodi