Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana mleta mada, natumia MOBDRO kiukweli iko poa sana na rahisi kutumia ukilinganisha na kodi.
Ugumu wa kodi ni kujua hizo plugins ndo shida kubwa kwa wengi wetu, Ila mobdro uki-download tu umemaliza Kila kitu unabaki kutumia tu
nime install kodi kwenya tablet lkn zile option zilizoelezwa kwenye tutorial hazipo mfano add ons etc,tatizo nn labda chief? Nikitaka kuadd ile add on unayotumia wewe siioni
Aisee nina link ya azam two huwa naicheki on mx player, mwenye ujuzi wa namna ya kuadd hiyo link on kodi anisaidie Chief-Mkwawa
Inaanziwa na nini na inaishiwa na nini?
Za kuanzia inaweza kuwa http:// au rtsp:// kuishia inaweza kuwa .3gp, .m3u, .mp4 etc
Hahahaaa nimeipenda hii ChiefHizo njia rahisi zipo nyingi na website za kuangalizia tv zipo nyingi ila haziwezi kureplace receiver au king'amuzi chako nyumbani. Ila ukitoa tv za nyumbani kodi inareplace receiver kama dstv.
1.ukiwa na box/device yenye infrared kodi inasuport rimoti kama ya receiver king'amuzi chako
2. Hupangiwi cha kuangalia unapanga mwenyewe uangalie nini
3. Ina codec nyingi unaplay movie na video zako humo humo
4. Ni multiplatform kila sehemu ipo
5. Internet inatumia kidogo wakati quality Ni kubwa.
6. Unaona tv toka original source (ndio maana baadhi tv zinataka vpn)
Kuna fair nyingi za kodi ndio maana imekubalika dunia nzima, sababu mchicha unapatikana kirahisi haimaanishi Ni mtamu kuliko nyama
Mkuu kuandika kila kitu huwa ni ngumu sana kwa kuwa sisi wengine si wapenzi sana wa kuandika...
jaribu kuitazama hii video fupi tu na utaweza kuelewa japo kwa uchache sawasawa na maswali yako...
Mkuu ni hii hapa
http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8
Mkuu ni rahisi tu...
Unaweza kutazama/kustream tv yoyote kwa kupitia Kodi maadamu uwe na url path sahihi ya mahali server ilipo ya content uitakayo...
Binafsi nishaweka Azam 2 na Star TV muda kidogo na huwa nazitazama inapobidi...
Hiyo link uliyoiweka hapo juu inabidi kuiedit kidogo ili uweze kutazama Azam 2
Ili uweze kustream lazima link yako iwe katika mojawapo ya format zifuatazo.
http://host/path/stream
au
mms://host/path/stream
au
rstp://host/path/stream
1. Step ya kwanza:
Tengeneza text file ambayo ndani yake utaweka hii link hapa chini na uisave kwa extention ya .strm (nakushauri tumia notepad++).
rstp://196.41.40.253:1935/live/myStream/
2. Step ya pili:
Fungua XBMC/Kodi na katika main menu bofya VIDEO, then bofya Files
Naendelea kuandika...
1. Step ya kwanza:
Tengeneza text file ambayo ndani yake utaweka hii link hapa chini na uisave kwa extention ya .strm (nakushauri tumia notepad++).
Mkuu unasave vipi extension kuwa .strm au tu ukiwa una-name file ndio unaiandika mwishoni? Halafu pia kwenye kuandika directory me nilibrowse lakini sikuona file
Mkuu unasave vipi extension kuwa .strm au tu ukiwa una-name file ndio unaiandika mwishoni? Halafu pia kwenye kuandika directory me nilibrowse lakini sikuona file