Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hongera sana mleta mada, natumia MOBDRO kiukweli iko poa sana na rahisi kutumia ukilinganisha na kodi.
 
Hongera sana mleta mada, natumia MOBDRO kiukweli iko poa sana na rahisi kutumia ukilinganisha na kodi.

Mobdro/app yoyote huwezi fananisha na media centre kama kodi au plex sababu hapo umebanwa na developer mmoja na video quality ya simu (ambayo itakuwa mbaya kwenye tv)

Wakati kodi una uhuru kwenye maelfu ya plugins na mamilioni ya tv kwa developer tofauti na quality 360p, 480p, 720p, 1080p na kuendelea.
 
Ugumu wa kodi ni kujua hizo plugins ndo shida kubwa kwa wengi wetu, Ila mobdro uki-download tu umemaliza Kila kitu unabaki kutumia tu

Hizo njia rahisi zipo nyingi na website za kuangalizia tv zipo nyingi ila haziwezi kureplace receiver au king'amuzi chako nyumbani. Ila ukitoa tv za nyumbani kodi inareplace receiver kama dstv.

1.ukiwa na box/device yenye infrared kodi inasuport rimoti kama ya receiver king'amuzi chako
2. Hupangiwi cha kuangalia unapanga mwenyewe uangalie nini
3. Ina codec nyingi unaplay movie na video zako humo humo
4. Ni multiplatform kila sehemu ipo
5. Internet inatumia kidogo wakati quality Ni kubwa.
6. Unaona tv toka original source (ndio maana baadhi tv zinataka vpn)

Kuna fair nyingi za kodi ndio maana imekubalika dunia nzima, sababu mchicha unapatikana kirahisi haimaanishi Ni mtamu kuliko nyama
 
Aisee nina link ya azam two huwa naicheki on mx player, mwenye ujuzi wa namna ya kuadd hiyo link on kodi anisaidie Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
nime install kodi kwenya tablet lkn zile option zilizoelezwa kwenye tutorial hazipo mfano add ons etc,tatizo nn labda chief? Nikitaka kuadd ile add on unayotumia wewe siioni
 
nime install kodi kwenya tablet lkn zile option zilizoelezwa kwenye tutorial hazipo mfano add ons etc,tatizo nn labda chief? Nikitaka kuadd ile add on unayotumia wewe siioni

Kuna link mwisho WA tutorial ifuate, Ina plugins nyingi na namna ya kuzieka
 
Aisee nina link ya azam two huwa naicheki on mx player, mwenye ujuzi wa namna ya kuadd hiyo link on kodi anisaidie Chief-Mkwawa

Inaanziwa na nini na inaishiwa na nini?

Za kuanzia inaweza kuwa http:// au rtsp:// kuishia inaweza kuwa .3gp, .m3u, .mp4 etc
 
Last edited by a moderator:
Hizo njia rahisi zipo nyingi na website za kuangalizia tv zipo nyingi ila haziwezi kureplace receiver au king'amuzi chako nyumbani. Ila ukitoa tv za nyumbani kodi inareplace receiver kama dstv.

1.ukiwa na box/device yenye infrared kodi inasuport rimoti kama ya receiver king'amuzi chako
2. Hupangiwi cha kuangalia unapanga mwenyewe uangalie nini
3. Ina codec nyingi unaplay movie na video zako humo humo
4. Ni multiplatform kila sehemu ipo
5. Internet inatumia kidogo wakati quality Ni kubwa.
6. Unaona tv toka original source (ndio maana baadhi tv zinataka vpn)

Kuna fair nyingi za kodi ndio maana imekubalika dunia nzima, sababu mchicha unapatikana kirahisi haimaanishi Ni mtamu kuliko nyama
Hahahaaa nimeipenda hii Chief
 
Mkuu kuandika kila kitu huwa ni ngumu sana kwa kuwa sisi wengine si wapenzi sana wa kuandika...

jaribu kuitazama hii video fupi tu na utaweza kuelewa japo kwa uchache sawasawa na maswali yako...

Nasinzia, kesho ndio ajenda ya kwanza na kusoma comment zote za wadau mpaka niweze, nikishindwa nitakurudia hata kama hupendi kuandika
 
Last edited by a moderator:
Nimesha-install kodi, haya kwa wanafunzi wenzangu walioelewa somo kabla ya kuwauliza wakongwe wa technology next step ipi (tuelekezane wenyewe kwanza)
 
Mkuu ni rahisi tu...

Unaweza kutazama/kustream tv yoyote kwa kupitia Kodi maadamu uwe na url path sahihi ya mahali server ilipo ya content uitakayo...

Binafsi nishaweka Azam 2 na Star TV muda kidogo na huwa nazitazama inapobidi...

Hiyo link uliyoiweka hapo juu inabidi kuiedit kidogo ili uweze kutazama Azam 2

Ili uweze kustream lazima link yako iwe katika mojawapo ya format zifuatazo.

http://host/path/stream
au
mms://host/path/stream
au
rstp://host/path/stream

1. Step ya kwanza:
Tengeneza text file ambayo ndani yake utaweka hii link hapa chini na uisave kwa extention ya .strm (nakushauri tumia notepad++).

Lipe jina lolote mathalani Azam Two.strm na lihifadhi mahali katika folder mathalani C:\Azamtv

rtmp://196.41.40.253:1935/live/myStream/

2. Step ya pili:
Fungua XBMC/Kodi na katika main menu bofya VIDEOS, then bofya Files na tena bofya Add Videos

3. Step ya tatu:
Itatokea dialog box kwa ajili ya kuingiza directory ya lile file ulilolisave katika Step ya kwanza.

Katika sehemu iliyoandikwa , bofya hapo na kuandika directory ya mahali ulipohifadhi lile file la Azam.strm

Mfano: C\:Azamtv\ (Azamtv ni folder ambalo ndani yake ndio kuna Azam.strm) tafadhali kwepa kuandika C:\Azamtv\Azam.strm

4. Step ya nne:

Bonyeza OK, then bonyeza OK na hapo file la Azam.strm litaonekana limekuwa added katika playlist.

Ukilifungua AzamTwo itaoneka kama una connection ya internet isiyo na shaka

Mwisho
 
Mkuu ni rahisi tu...

Unaweza kutazama/kustream tv yoyote kwa kupitia Kodi maadamu uwe na url path sahihi ya mahali server ilipo ya content uitakayo...

Binafsi nishaweka Azam 2 na Star TV muda kidogo na huwa nazitazama inapobidi...

Hiyo link uliyoiweka hapo juu inabidi kuiedit kidogo ili uweze kutazama Azam 2

Ili uweze kustream lazima link yako iwe katika mojawapo ya format zifuatazo.

http://host/path/stream
au
mms://host/path/stream
au
rstp://host/path/stream

1. Step ya kwanza:
Tengeneza text file ambayo ndani yake utaweka hii link hapa chini na uisave kwa extention ya .strm (nakushauri tumia notepad++).

rstp://196.41.40.253:1935/live/myStream/

2. Step ya pili:
Fungua XBMC/Kodi na katika main menu bofya VIDEO, then bofya Files

Naendelea kuandika...

Asante mkuu, na me naendelea kusubiri
 
Yaan mnachonifurahisha zaidi ninyi watu wa it....mnanena kwa lugha za mataifa...!! Nafolow wee mwishoe natokea kusipo!!
 
1. Step ya kwanza:
Tengeneza text file ambayo ndani yake utaweka hii link hapa chini na uisave kwa extention ya .strm (nakushauri tumia notepad++).

Mkuu unasave vipi extension kuwa .strm au tu ukiwa una-name file ndio unaiandika mwishoni? Halafu pia kwenye kuandika directory me nilibrowse lakini sikuona file
 
Mkuu unasave vipi extension kuwa .strm au tu ukiwa una-name file ndio unaiandika mwishoni? Halafu pia kwenye kuandika directory me nilibrowse lakini sikuona file

1. Anza kwa kutengeneza folder katika drive yoyote, mfano ingia drive C then create folder na uliite Azamtv.

2. Ndani yake hili folder tengeneza file kwa notepad na uweke ile link ya azam tv niliyoandika pale juu.

Sasa kwa kawaida notepad huwa inaweka extention ya .txt, hii ndio unapaswa kuibadili na kuwa .strm.

Binafsi hutumia third part software inaitwa notepad++ ni rahisi pale unaposave text file ukiwa na nia ya kubabili extention yoyote unayotaka.

Sasa kama unatumia windows, jaribu ku-unhide extentions ili hilo file lako la notepad uweze kuiona .txt extention.

Hakikisha umelog in kwa windows kama admin...
 
Back
Top Bottom