white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kuna plugin ya mpira inaitwa devilsport hii ni kombakomba, haina chanell za hd ila ina maelfu ya chanell kutoka website zote maarufu za mpira kama firstrow, rojadirecta, livetv.ru nk
Kama umechoka na matangazo ya website na internet ipo slow tumia hii plugin.
https://seo-michael.co.uk/how-to-manually-install-sportsdevil-on-xbmc/?_e_pi_=7,PAGE_ID10,3406763772
Mkuu ni sportsdevil sio devilsport... Me nilikuwa nayo ila nikaona kama ya kizushi ngoja niinstall tena niicheki kwa kina kama ni nzuri
Mkuu ni sportsdevil sio devilsport... Me nilikuwa nayo ila nikaona kama ya kizushi ngoja niinstall tena niicheki kwa kina kama ni nzuri
Kuna updated addon ya Sportsdevil iliyotoka June...
Infact zilitoka mbili, hii aliyoiweka Chief na nyingine pia...
Binafsi hii sijaijaribu ila hiyo nyingine nimekuwa nayo toka hiyo June...
Kuna links bado zinasumbua lakini zipo nyingine zinazofanya kazi vizuri...
Kama unakumbuka Sportsdevil ilikuwa down muda mrefu ila kwa sasa kurudi japo kwa links chache si mbaya...
Kitu kingine ni kuwa kama una Sportsdevil na IP Stalker (najua unayo hii kuna mahali niliona umeandika), unaweza kuinstall TV Directo addon...
TV Directo inachofanya ni kufetch zile links zilizopo kwa IP Stalker na Sportsdevil na kuzistream moja kwa moja...
Ndio iptv stalker ninayo sema ni ya kulipia imekata now, vipi nikitumia hiyo TV Directo ntapata links za iptv stalker hata kama imejifunga?
Hahaha hapana mkuu...
Hakuna namna ya kuitumia sasa pasipo kulipia kwa zile channels za US/UK...
Ila kuna baadhi ya channels za Kilatino zinapatikana (kimsingi hizi hazina mvuto)...
Halafu ingia hapa kuna links za bein sports katika mfumo wa .u3m8 http://free-links-iptv.blogspot.com/2015/01/links-iptv-bein-sport-hd.html?m=1
halafu nimedownload notepad++ ila nadhani extension ya .strm unaingiza manually coz sijaiona, naomba unipe ujuzi ili nisiwe nakusumbua vitu vya kijinga
Nitapita huku kutazama kunani...
Ila mara nyingi channels za Bein huwa natazama endapo kuna mechi na huwa naingia mitandao ya kiarabu (yalla-shoot.com/live au yallakora-online.com)
Naam huwa haina extention ya .strm wala .m3u
Isipokuwa unapo save as, pale unapoandika file name mathalani jina la file unaliita franco, unapaswa kuliandika franco.strm au franco.m3u...
Sehemu ya Save as type unaweka 'All types'...
Hapo mambo yako yatakuwa swafiiii....
Mkuu unafanyaje maana nipo interested na michezo hasa soka, KODI nimeweka ila hiyo sijui bein inakuaje, je unai-link na kodi au inakuaje?Hahaha poa mkuu...... Halafu ingia hapa kuna links za bein sports katika mfumo wa .m3u8 Free Iptv : Links Simple TV . Vlc . Xbmc . Android TV: Links Iptv Bein Sport HD halafu nimedownload notepad++ ila nadhani extension ya .strm unaingiza manually coz sijaiona, naomba unipe ujuzi ili nisiwe nakusumbua vitu vya kijinga
Mkuu unafanyaje maana nipo interested na michezo hasa soka, KODI nimeweka ila hiyo sijui bein inakuaje, je unai-link na kodi au inakuaje?
Mkuu hii kitu ipo complicated cha msingi install paki india add-on na utapata bein sports zote
Mkuu hii kitu ipo complicated cha msingi install paki india add-on na utapata bein sports zote
Hivi hapa Dar es salaam ni wapi naweza kupata micro USB to HDMI Cable/adapter. Hii itatusaidia sie ambao simu zetu au tv zetu hazi support Screen mirroring