Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

JAman mbona kama ss wa Android mmetusahau, Nimeinstal lazzy IPTV sasa kupata link chanelz ndio Utata, Msaada juu ya hilo waungwana
Sim yangu haina uwezo sana lakin soon nitabadilisha ni SAMSUNG Duos grand lite , kuinstal Ile KODI App play store nayo Imesema not supported (utata plus)
 
Ahsante Chief-Mkwawa, Njunwa Wamavoko na Watu8 nimejitahidi kitu KODI kimekubali naweza kupata channel kama aljazeera na zingine za ulaya kupitia Paki India ila hii hapa vdtube25 nimeshindwa kuipata

Mkuu kwanza nadhani kulikuwa na makosa katika utajaji wa hilo jina...

Hiyo addon inaitwa Vdubt25 na sio vdutube25...


Then kwa maelezo yako ya hapa chini naomba unifahamishe mambo kadhaa...

1. Umeinstall version ipi ya Kodi?

2. Umeinstall Xunity Talk Repository?

3. Ukiingia hapo katika install from repository unaona nini?



 
Ukiwa na Lazy IPTV inabidi uweke playlist...

Kwa kawaida katika playlist unaweza ukaweka link toka mtandaoni au ukaweka local link ambayo ni file la m3u toka katika local storage...

Kwa case yako wewe inabidi ufungue Lazy IPTV, then bofya new playlist, then from internet (url)...

Itatokea sehemu mbili ya kujaza, sehemu ya kwanza andika jina lolote tu lile mfano IPTV 1 na sehemu ya pili weka hii url http://bit.ly/soloman2015

Baada ya hapo save na subiri maana kutakuwa na auto update ya hizo channels ili ziload kwa mara ya kwanza...

Ikifanikiwa kumaliza maana yake utakuwa tayari na channels kadhaa kutoka hiyo link...

Baada ya hapo rudi katika dashboard, ukibofya hapo juu kushoto itashuka menu, scroll chini hadi utapoona playlist manager na chini yake utaona lile jina uliloweka pale juu IPTV1.

Ukilibofya hilo utaona channels zako zikiwa tayari kwa ajili ya kutazamwa...



 
Mkuu Chief na wengine asanteni kwa somo zuri,nimeshashusha hiyo software ya kodi,na vidtube 25,inafanya kazi safi,
 

Mkuu watu8....Sasa sisi watu wa smartphone tunafanyaje na sisi tuweze kuona azam tv na nyinginezo?
 
Nimekupata vilivyo mkuu #watu 8 tv staions zinakuja ila kuplay nikiplay inakuja mfumo wa Audio sasa sijui inabid niw na vlc ya Android au ni vp msaada tafadhali.
 
Mkuu watu8....Sasa sisi watu wa smartphone tunafanyaje na sisi tuweze kuona azam tv na nyinginezo?

Kama alivyosisitiza franco hapo juu kama smartphone yako haikidhi vigezo vya kuinstall KODI...

Huna budi kutumia MX Player ambayo itakusaidia kutazama Azam 2 (link yake hii hapa http://196.41.40.253:1935/live/myStream/playlist.m3u8).
Ukishainstall MX Player toka Google store, fanya kuifunga hiyo link kwa MX Player...

Na kwa TV nyinginezo unaweza kutafuta app yaitwa Mobdro (ingia www.mobdro.com kuipakua)
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata vilivyo mkuu #watu 8 tv staions zinakuja ila kuplay nikiplay inakuja mfumo wa Audio sasa sijui inabid niw na vlc ya Android au ni vp msaada tafadhali.

Kawaida huwa inaplay na default video player...

Fanya hivi, nenda Google play na download na install MX Player...

Ukishamaliza njoo kwa dashboard ya Lazy IPTV na nenda hadi katika Preference...

Shuka hadi sehemu iliyoandikwa video player na bofya hapo kuchagua MX Player...

Nadhani hutakuwa na shida tena...
 

Nime-install KODI version hiyo kwenye link aliyoleta Chief-Mkwawa hapo juu na nimetumia tutorial kwenye link ya chief mkwawa hapo juu na nilifuata maelekezo kama tutorial inavyosema nikafika mpaka Xunity Talk Repository alafu add-ons ikawa enabled ila ikaja tofauti kama tutorial ilivyoelekeza, tazama maelezo yangu hapo chini

 
Okay kwanza sikuwa nimeenda katika hiyo link aliyotoa Chief Mkwawa ila sasa kuna kitu nimenotice nadhani ndipo shida inaanzia...

Hatua ya mwanzo katika ku-Add source ile sehemu iliyoandikwa <None> inapaswa uweke link hii: http://xfinity.xunitytalk.com
Na sio kuweka: http://www.xunitytalk.com/xfinity

Halafu endelea na hatua nyinginezo kama walivyoelekeza...

 
Utata unakuja nishafanya kama ulivo agiza mkuu but steel haionyesh lakin sio kesi KWA kweli Madbro imenisaidia, baada ya kuidowload na kuifungua imerun parfectly na nimeangalia MTV na Cartoon ya Samurai jack mpaka nimejisahau, nlikuwa natafuta sana Madude kama haya sana thanks 4 Sharing wakuu, Tujuzane zaid kwenye chanelz zanazo onyesha ligi kubwa kama EUFA,BUNDASLIGA na PRIMER LEAGUE
Thanks in Advance #wadau
 

Ahsante sana mkuu kitu kimekubali naona skysport za kumwaga mpaka MUTV ndani, idumu JF asee kama uraiani hii issue mtu anaweza akapiga ela maana kama kuingiza nyimbo tu kwenye simu ni mpaka pesa
 
Usijali mkuu karibu tena...

Kodi ina mambo mengi sana na utaifaidi kama tu una internet yenye afya...

Binafsi nimeifahamu kwa muda mrefu tokea toleo lao la mwanzo wakijiita XBMC (Frodo v12)...

Enjoy mkuu...

Ahsante sana mkuu kitu kimekubali naona skysport za kumwaga mpaka MUTV ndani, idumu JF asee kama uraiani hii issue mtu anaweza akapiga ela maana kama kuingiza nyimbo tu kwenye simu ni mpaka pesa
 
Usijali mkuu karibu tena...

Kodi ina mambo mengi sana na utaifaidi kama tu una internet yenye afya...

Binafsi nimeifahamu kwa muda mrefu tokea toleo lao la mwanzo wakijiita XBMC (Frodo v12)...

Enjoy mkuu...

Ahsante kumbe wakati mwingine unakwenda kuangalia mechi usiku alafu unakunywa vinywaji vya mwekundu kumbe unlimited ya buku inakufanya u check mpira. Kumbe nilikuwa nakosa vingi hasa napo kuwa safari kumbe TV ninayo mgongoni kwenye bag
 
Usijali mkuu karibu tena...

Kodi ina mambo mengi sana na utaifaidi kama tu una internet yenye afya...

Binafsi nimeifahamu kwa muda mrefu tokea toleo lao la mwanzo wakijiita XBMC (Frodo v12)...

Enjoy mkuu...

naomba msaada wako Watu8 nimeinstall pak india tatizo linalonikuta kila nikitaka kuifungua niangalie chanel zake inaniletea ujumbe huu
"error check log for more information"
sasa sijui hapo tatizo ni nini
 
Last edited by a moderator:
Boss, azamtv unapata hata kwa kutumia mx player on android, cha msingi copy link ya azam na upaste kwenye mx player

Vipi kuhusu ku-minimize wakati unatumia KODI maana nimetafuta option ya ku-minimize sijaona kwani wakati mwingine unakuwa unataka kusikia sauti tu huku unafanya mambo mengine ili kama kuna kitu kipo interesting ndipo audio-visual ina apply
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…