Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Aisee kumbe computer ni kujiamini tu, nimesoma maelezo ya kuweka KODI kwa msaada wenu mleta uzi na wewe nikaweza na kuweka zingine, nikasoma post yako kuhusu AZAM nikachemsha lakini mwisho wa siku nimeweza kuweka AZAM TWO, SHUKRANI MKUUYap...
Hata katika mtandao(website) wa StarTv inaonekana wapo offair...
Once wakiwa onair huwa Startv inaonekana...
Aisee kumbe computer ni kujiamini tu, nimesoma maelezo ya kuweka KODI kwa msaada wenu mleta uzi na wewe nikaweza na kuweka zingine, nikasoma post yako kuhusu AZAM nikachemsha lakini mwisho wa siku nimeweza kuweka AZAM TWO, SHUKRANI MKUU
Kujaribu ni kuthubutu mkuu...
Na unapothubutu unapata challenges zaidi na kujua mengi zaidi...
We can't download this file because windows phone doesn't support this file type
Umeipat kwenye add ons ganNilikuwa nasumbuka sana kustream mpira kwenye Google, nimeweka kodi kwenye laptop yangu na smartphone na hapa nainjoi Liverpool tv
Kwakweli hili jukwaa ndio lilikuwa chachu ya Mimi kujiunga na JF na ndio kielelezo tosha cha ugreat thinker
Umeipat kwenye add ons gan
Ukiwa na Lazy IPTV inabidi uweke playlist...
Kwa kawaida katika playlist unaweza ukaweka link toka mtandaoni au ukaweka local link ambayo ni file la m3u toka katika local storage...
Kwa case yako wewe inabidi ufungue Lazy IPTV, then bofya new playlist, then from internet (url)...
Itatokea sehemu mbili ya kujaza, sehemu ya kwanza andika jina lolote tu lile mfano IPTV 1 na sehemu ya pili weka hii url Soloman English only - Pastebin.com
Baada ya hapo save na subiri maana kutakuwa na auto update ya hizo channels ili ziload kwa mara ya kwanza...
Ikifanikiwa kumaliza maana yake utakuwa tayari na channels kadhaa kutoka hiyo link...
Baada ya hapo rudi katika dashboard, ukibofya hapo juu kushoto itashuka menu, scroll chini hadi utapoona playlist manager na chini yake utaona lile jina uliloweka pale juu IPTV1.
Ukilibofya hilo utaona channels zako zikiwa tayari kwa ajili ya kutazamwa...
Kwenye PHOENIX...
Zipo channel nyingi kama Chelsea na man city
Mie kwenye laptop mambo shwari, hapa nakomaa na kwenye simu inaogoma though kodi nimeweza kuweka na nimeambulia Aljazeera, kwenye simu naona kuna baadhi hazionekani kama Paki India Live na hiyo phoenixmkuu kwenye simu unatumia os ipi,mm nime install kodi ktk Simu android version 4.2.2 msaada wa hatua za kupata hizo add- ons maana nime fail
mkuu kwenye simu unatumia os ipi,mm nime install kodi ktk Simu android version 4.2.2 msaada wa hatua za kupata hizo add- ons maana nime fail
Nonsense,,,, maelezo kibao NA tutorial za kufa mtu,,, at the end nothing.Dunia ya sasa iko simple sana na clear ndo maana hata job interviews zimepungua masaa,,,;sasa umeapload movie ya 2hrs kwenye somo? Sasa mtihani si itakuwa TB au XB?
Nonsense,,,, maelezo kibao NA tutorial za kufa mtu,,, at the end nothing.Dunia ya sasa iko simple sana na clear ndo maana hata job interviews zimepungua masaa,,,;sasa umeapload movie ya 2hrs kwenye somo? Sasa mtihani si itakuwa TB au XB?
Mkuu bado kwagu inasem add ons does not have correct structure