Ukiwa na Lazy IPTV inabidi uweke playlist...
Kwa kawaida katika playlist unaweza ukaweka link toka mtandaoni au ukaweka local link ambayo ni file la m3u toka katika local storage...
Kwa case yako wewe inabidi ufungue Lazy IPTV, then bofya new playlist, then from internet (url)...
Itatokea sehemu mbili ya kujaza, sehemu ya kwanza andika jina lolote tu lile mfano IPTV 1 na sehemu ya pili weka hii url
Soloman English only - Pastebin.com
Baada ya hapo save na subiri maana kutakuwa na auto update ya hizo channels ili ziload kwa mara ya kwanza...
Ikifanikiwa kumaliza maana yake utakuwa tayari na channels kadhaa kutoka hiyo link...
Baada ya hapo rudi katika dashboard, ukibofya hapo juu kushoto itashuka menu, scroll chini hadi utapoona playlist manager na chini yake utaona lile jina uliloweka pale juu IPTV1.
Ukilibofya hilo utaona channels zako zikiwa tayari kwa ajili ya kutazamwa...