Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Mkuu hapo kwenye ulaji wa bundle si inakua ni balaa sana au?Tunaomba experience yako CHIEF
 
Mkuu hapo kwenye ulaji wa bundle si inakua ni balaa sana au?Tunaomba experience yako CHIEF

kwa unachoona na bundle inayokula hii ina uafadhali, kama alivyosema njunwa hapo juu unaweza angalia chanell ya hd kwa speed around 1mbps wakati kwa youtube pengine ingehitaji zxaidi ya 3mbps.

lakini hii pia chanell zake nyingi ni hd na full hd hivyo kama bundle ni ya mawazo itaisha mara moja. i recomend vifurushi vya usiku (kwa ajili ya uefa) au kama ni vya mchana viwe ni vile vyenye bandwitch kuanzia 1gb.

kama bundle ni ndogo sana tumia site hii hapa
ROJADIRECTA

chagua match ukiclick watakuletea link then utaletewa na speed inayohitajika, unaweza hata tumia edge kama hauna 3g then ukachagua inayotaka bandwitch ndogo kama 200kbps

ila kama unaangalia kwa browser hakikisha una ads blocker
 
Chief-Mkwawa nilitaka kufungua uzi huu kitambo lakini wasiwasi wangu ulikuwa ni uhakika ya internet kwa Wabongo...

Nimeanza kutumia XBMC (Kodi) tangu enzi za version ya Frodo baadaye Gotham na sasa Helix...

Kwa kuongezea tu kwa watumiaji wa simu pia wanaweza kujaribu LazyIPTV au IPTV app, zipo vizuri nazo.
Kitu cha muhimu ni kututa tu links nzuri za m3u na kuziweka huko...

La unaweza ukaziinstall pia kwa kompyuta kupitia bluestack...
 
Last edited by a moderator:

hata vlc inaplay m3u ila kuzipata link ambazo zinafanya kazi ndio issue, kama una reliable source ya kupata hizo links ina maana watu hawatapata shida hio hapo juu wataangalia tu mpira kwa vlc.
 
Kama unamfahamu jamaa mmoja anaitwa Husham, huwa anatoa updates karibu kila mwezi....

IPTV LINKS – World IPTV/M3u Links | Husham.com website

Baada ya kupata IPTV link toka kwa Husham, unachofanya ni kuiweka "configure" katika Simple PVR au unaweza pia kutumia Playlist loader addon...

Sipendi sana VLC kwa kuwa katika Kodi unapata GUI kama ilivyo tu kwenye PVR machines...
 
Malipo ni bure lakini kwa upande wa Internet provider kama tigo,voda na Airtel Kampuni wanaunafuu? na ipi njia bora kupunguza hizo Mb zinazokwenda kwa kasi?
 
Hyo kodi ndo remote mkuu... Maana nimedownload halafu sijui cha kufanya
 
Malipo ni bure lakini kwa upande wa Internet provider kama tigo,voda na Airtel Kampuni wanaunafuu? na ipi njia bora kupunguza hizo Mb zinazokwenda kwa kasi?

Kiuhakika zaidi kama unataka kuangalia 24hrs itakubidi uwe na internet unlimited.

Ila kama unaangalia pale unapohitaji kama vile mpira basi Kifurushi cha siku kinatosha cha 1000

Na operator wote naona karibia Ni sawa
 
Malipo ni bure lakini kwa upande wa Internet provider kama tigo,voda na Airtel Kampuni wanaunafuu? na ipi njia bora kupunguza hizo Mb zinazokwenda kwa kasi?

Nimekuwa natumia browser (Chrome) kuangalia mpira, nimekuwa natumia kati ya 350mb-450mb kwa dk 90. So, huwa naweka bundle ya siku ya tigo ya 999 Tsh, napata 650mb. Naangalia mwanzo mwisho na mb kadhaa zinabaki.
 
Mkuu, nilitaka kuagiza Amazon firestick but nilposoma na kuelewa utendaji wake wa kazi nikakata tamaa kutokana na matatizo ya Internet speed kwa hapa bongo.

Naomba uzoefu wako kama unatumia au ushawahi kutumia amazon firestick.
Niko very interested na hii kitu.

Asante!!
 
Kwa muono wangu mimi nunua android box kama budget Ni ndogo ila kama unaweza panda kidogo full PC Ni bora zaidi kwenye range around $150 unazipata.

Pia firetv (firestick) inaruhusu ku sideload apps za android hivyo inakuwa si kama chromecast unaweza itumia hata internet ikiwa ya magumashi
 
Shukran mkuu!
Umenufumbua macho kwa kiasi flani.
 
Kiuhakika zaidi kama unataka kuangalia 24hrs itakubidi uwe na internet unlimited.

Ila kama unaangalia pale unapohitaji kama vile mpira basi Kifurushi cha siku kinatosha cha 1000

Na operator wote naona karibia Ni sawa

thanks bro!
 
plugin ya sports siion mkuu
 
Nimefanikiwa kuitumia kodi kwenye laptop, iko vizuri sana.
Nimeinstall add ons kama Phoenix, uk_turk zipo fresh
 
Kwa wale wapenzi wa Investigation Discovery
Channel hii inaonesha USA crimes na jinsi Askari wanavyofanya upelelezi mpaka kumkamata mtu alofanya hiyo crime.
Mara nyingi ni crimes za mauaji
channel hii pia ipo kwenye Azam na DSTV

1hr watching

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…