Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,001
mara nyingi ikiandika hivyo link inakuwa offline, umetest streams kadhaa?naambiwa one or more item fail to play nafix vip hii ixu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mara nyingi ikiandika hivyo link inakuwa offline, umetest streams kadhaa?naambiwa one or more item fail to play nafix vip hii ixu
Dah mkuu labda unipe zako mimi huku hakuna kifanyacho kazimara nyingi ikiandika hivyo link inakuwa offline, umetest streams kadhaa?
nimetest sasa hivi bein sport inapiga kazi, 2 inapiga etc umeingia aragon, ukachagua aragon live unakenda sports kisha ukachagua chanell kama bein sport? hebu jaribuYan mimi chaneli kibao zinakuja ila napata error tu. Hakuna hata inayoonyexa
Ngoja nitajaribu nitakumpa mrejesho.ni
nimetest sasa hivi bein sport inapiga kazi, 2 inapiga etc umeingia aragon, ukachagua aragon live unakenda sports kisha ukachagua chanell kama bein sport? hebu jaribu
kuna kimoja kipo upanga niliwahi mpeleka mtu, output za vijana wa pale sio mbaya. kama ni kitu unachokipenda ujuzi utakaoupata na juhudi zako unaweza ukatoka.
chuo kinaitwa media one kinaangalizana na makao ya jeshi pale,
tembelea huu uzi
looking for a College that runs 3D animation course in tanzania
mtafute huyo kadoda na good guy watakusaidia kwenye huo uzi.
kwa kuanzia kabisa kama budget ni ndogo tafuta desktop ya i5 3rd generarion utaipata kama 250,000 hivi, utatafuta na monitor au tumia tv kama unayo.Nashukuru sana nime wasiliana nao wenye chuo kabisa nipo mbioni kujiunga nao napia nilikuwa na swali la pili nina hitaji computer lakini Desktop ambayo naweza fanya mambo yote Graphic na Animation je naweza kupata computer na kiasi gani ambayo naweza fanya mambo yote hayo na niwapi nijiandae na bajeti ya bei gani
Nina kama Laki Tano hivikwa kuanzia kabisa kama budget ni ndogo tafuta desktop ya i5 3rd generarion utaipata kama 250,000 hivi, utatafuta na monitor au tumia tv kama unayo.
ila lengo lako upate mashine ya xeon au i7 huko baadae na dedicated gpu. hizi hapa Tanzania ni kama 400,000 na gpu itabidi ununue online around kama 250,000 plus monitor nzuri ya 1080p kuendelea.
Mambo ya online sio mzuri sana unaweza nitajia japo duka moja nawezapata hapa mjinikwa kuanzia kabisa kama budget ni ndogo tafuta desktop ya i5 3rd generarion utaipata kama 250,000 hivi, utatafuta na monitor au tumia tv kama unayo.
ila lengo lako upate mashine ya xeon au i7 huko baadae na dedicated gpu. hizi hapa Tanzania ni kama 400,000 na gpu itabidi ununue online around kama 250,000 plus monitor nzuri ya 1080p kuendelea.
online ni hio gpu, ila kama una laki 5 invest kwenye desktop kwanza, gpu uta upgrade baadae.Mambo ya online sio mzuri sana unaweza nitajia japo duka moja nawezapata hapa mjini
Vp ikiwa inaishia na K?online ni hio gpu, ila kama una laki 5 invest kwenye desktop kwanza, gpu uta upgrade baadae.
kwa hio hela unapata i7 3rd generation kama i7 3770.
Duka nenda discountkubwa inaangalizana na kituo cha polisi msimbazi, hio ya i5 niliona hapo i hope wanayo pia i7.
pia nenda kaale wapo mtaa wa likoma kariakoo likoma na aggrey unaenda mbele kidogo wanaangalizana na kanisa la KKKT pale kkoo.
ukumbuke generation ni ya tatu, wasije wakakubamiza i7 1st generation itakuwa haina maana.
pia kama una laki 5 unaweza ukatafuta pia laptop kuanzia 4th generation hivi ukipata ambazo cpu zake zinaishiwa na M, MQ, HQ au H zitakufaa kwa matumizi yako.
inayoishiwa na K ndio nzuri zaidi inamaana unaweza kui overclock.Vp ikiwa inaishia na K?
Kuhusu perfomance yake inakuwaje????inayoishiwa na K ndio nzuri zaidi inamaana unaweza kui overclock.
mfano cpu yako ni 3.7ghz unaweza ukai overclock hadi 4.5ghz
pia kikawaida ya k bila kui overclock inakuwa na clockspeed kubwa.
mfano
i7 3770 base speed ni 3.4ghz
i7 3770k base speed ni 3.5ghz
hivyo unaona kuna ka advantage fulani,
perfomance ni kubwa kwa generation husika. mfano i7 3770k ina perfomance kubwa kushinda 3rd generation wenzake, 8700k ina perfomance kubwa kushinda 8th generation wenzake.Kuhusu perfomance yake inakuwaje????
Okay... Asante mzeeperfomance ni kubwa kwa generation husika. mfano i7 3770k ina perfomance kubwa kushinda 3rd generation wenzake, 8700k ina perfomance kubwa kushinda 8th generation wenzake.
Mkuu kuna lile file ya channel za bongo ulizoziweka hapa nmeshindwa kuinstall kwenye koditest hii hapa
How To Install Aragon Live TV Kodi Addon | WirelesSHack
nimeijaribu sasa hivi chanell kibao zinafanya kazi, mpira, movie, habari etc
Kabelwa
zile zilishakufa, mpya utazipata uzi huuMkuu kuna lile file ya channel za bongo ulizoziweka hapa nmeshindwa kuinstall kwenye kodi