Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Yan mimi chaneli kibao zinakuja ila napata error tu. Hakuna hata inayoonyexa
 
ni

nimetest sasa hivi bein sport inapiga kazi, 2 inapiga etc umeingia aragon, ukachagua aragon live unakenda sports kisha ukachagua chanell kama bein sport? hebu jaribu
 
Ngoja nitajaribu nitakumpa mrejesho.
 
Nashukuru sana nime wasiliana nao wenye chuo kabisa nipo mbioni kujiunga nao napia nilikuwa na swali la pili nina hitaji computer lakini Desktop ambayo naweza fanya mambo yote Graphic na Animation je naweza kupata computer na kiasi gani ambayo naweza fanya mambo yote hayo na niwapi nijiandae na bajeti ya bei gani
kuna kimoja kipo upanga niliwahi mpeleka mtu, output za vijana wa pale sio mbaya. kama ni kitu unachokipenda ujuzi utakaoupata na juhudi zako unaweza ukatoka.

chuo kinaitwa media one kinaangalizana na makao ya jeshi pale,

tembelea huu uzi
looking for a College that runs 3D animation course in tanzania

mtafute huyo kadoda na good guy watakusaidia kwenye huo uzi.
 
Nashukuru sana nime wasiliana nao wenye chuo kabisa nipo mbioni kujiunga nao napia nilikuwa na swali la pili nina hitaji computer lakini Desktop ambayo naweza fanya mambo yote Graphic na Animation je naweza kupata computer na kiasi gani ambayo naweza fanya mambo yote hayo na niwapi nijiandae na bajeti ya bei gani
kwa kuanzia kabisa kama budget ni ndogo tafuta desktop ya i5 3rd generarion utaipata kama 250,000 hivi, utatafuta na monitor au tumia tv kama unayo.

ila lengo lako upate mashine ya xeon au i7 huko baadae na dedicated gpu. hizi hapa Tanzania ni kama 400,000 na gpu itabidi ununue online around kama 250,000 plus monitor nzuri ya 1080p kuendelea.
 
Nina kama Laki Tano hivi
 
Mambo ya online sio mzuri sana unaweza nitajia japo duka moja nawezapata hapa mjini
 
online ni hio gpu, ila kama una laki 5 invest kwenye desktop kwanza, gpu uta upgrade baadae.

kwa hio hela unapata i7 3rd generation kama i7 3770.

Duka nenda discountkubwa inaangalizana na kituo cha polisi msimbazi, hio ya i5 niliona hapo i hope wanayo pia i7.

pia nenda kaale wapo mtaa wa likoma kariakoo likoma na aggrey unaenda mbele kidogo wanaangalizana na kanisa la KKKT pale kkoo.

ukumbuke generation ni ya tatu, wasije wakakubamiza i7 1st generation itakuwa haina maana.

pia kama una laki 5 unaweza ukatafuta pia laptop kuanzia 4th generation hivi ukipata ambazo cpu zake zinaishiwa na M, MQ, HQ au H zitakufaa kwa matumizi yako.
 
Vp ikiwa inaishia na K?
 
Vp ikiwa inaishia na K?
inayoishiwa na K ndio nzuri zaidi inamaana unaweza kui overclock.

mfano cpu yako ni 3.7ghz unaweza ukai overclock hadi 4.5ghz

pia kikawaida ya k bila kui overclock inakuwa na clockspeed kubwa.

mfano
i7 3770 base speed ni 3.4ghz
i7 3770k base speed ni 3.5ghz

hivyo unaona kuna ka advantage fulani,
 
Kuhusu perfomance yake inakuwaje????
 
Kuhusu perfomance yake inakuwaje????
perfomance ni kubwa kwa generation husika. mfano i7 3770k ina perfomance kubwa kushinda 3rd generation wenzake, 8700k ina perfomance kubwa kushinda 8th generation wenzake.
 
wadau wa kodi xbmc naomba kama kuna anaezifahamu addons mpya za kuangalia Mpira ambazo hazisumbuisumbui aniwekee hapa.
 
Naomba kuuliza wakuu nimeweka hii Kodi kuna Mahali nimeona TV sasa television za Tanzania nitawezaje kuziweka kwenye Kodi?
 
Back
Top Bottom