Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Na muda sijapita njia hii:

hebu naomba update kupata chanel za bongo iptv kama vile
TBC
ITV
STAR TV
CLOUD
EATV

Hata kama kwa kulipia nipo teyari muhimu tu nitumie kwa njia ya simu na sio dishi.

Natanguliza shukurani
 
Jamani ninatumia tv aina hii ina OS ya android nitumie njia gani ili niweze kuangalia mpira nimeweka apps ya AZAM MOBDRO zote zimegoma nitumie njia gani msaada wenu
MART%20SMART%20LED%20TV%20%20CURVED%2032_%20Tsh_500000%200714417739%20%200763251378.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na muda sijapita njia hii:

hebu naomba update kupata chanel za bongo iptv kama vile
TBC
ITV
STAR TV
CLOUD
EATV

Hata kama kwa kulipia nipo teyari muhimu tu nitumie kwa njia ya simu na sio dishi.

Natanguliza shukurani
Cheki Afrobox playstore ila mda sijaitumia ina chanell za burudani kama clouds
 
ukisha fungua hio app ingia logen with xtream code kisha utaona box 4 za kujaza
name: skydmx
user : ayadi
password:12345
url: nione pm nitakupa koz hii premium nakusaidia tu
 
Back
Top Bottom