Kila unaposimama Rais Samia Suluhu na CCM wanaonekana - hatumwachi

Kila unaposimama Rais Samia Suluhu na CCM wanaonekana - hatumwachi

Kwamba tuandike yanayowapendeza CDM, ACT, CUF, NCCR, CCK, Umoja parties nk?

Sisi tunaona kazi ya Samia na Serikali anayoingoza - Lissu hajalipwa mafao yake? (Nani kalipa)? Simu yako unatumia minara ya Dubai?
Mwafaa, natamani kama ningekua nakitaka chama cha ccm siku moja niwe makam mwenyekiti alafu niwaoneshe namna ya kujenga chama

Huwi mwenyekiti, diwani, mbunge ,rais kama sioni impact katika jamii yako inayokuzunguka, ccm kama chama sio kibaya ila nyie machawa ndo waaribu chama

Mfano nimeona at Msukuma ametandaza nagari so what atakufa nayo au kuzikwa nayo lini mzee kishimba pamoja na utajiri alionao fanya upumbavu kama wa msukuma
 
Hitimisho:
Serikali inayoongozwa na Rais Samia inawajali watanzania na haibagui watu kwa dini, rangi, na kabila. Tuipende kwa umoja wetu.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Mpaka uje uonekane Dar au Dodoma utakuwa umeshazeeka huna thamani
 
Salaam ni jadi yetu watanzania!

Mada ni kuwa hata MTU ajitoe vipi ufahamu lkn kila unaposimama au kuangaza macho kazi ya Rais Samia Suluhu kupitia CCM inaonekana bayana. Iko hivi

Miundombinu ya Reli, Barabara, Viwanja vya ndege vinaonekana - CDM hamvioni?

Ajira kwa vijana zimeongezeka sana walimu, watendaji, madaktari, Polisi, Jwtz, uhamiaji, magereza, wameajiriwa - CDM, ACT nk hamuwaoni?

Maridhiano ya kisiasa - Mbowe, Lissu, Mdude, Slaa, Mwabukusi wamefutiwa mashitaka - kweli CDM hamuoni?

Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka na idadi ya wadahiliwa kuongezeka - Serikali imesikia kilio chenu watanzania. Sasa haya CDM hawayaoni?

Hitimisho:
Serikali inayoongozwa na Rais Samia inawajali watanzania na haibagui watu kwa dini, rangi, na kabila. Tuipende kwa umoja wetu.

Ngaika Ndenda
Kigoma.
Yaani style ya kutengeneza tatizo halafu unalitatua ndio tuone ni ushujaa? Tatizo la umeme limetengenezwa na CCM ,halafu wakilitatua wahesabiqe Mashujaa? Tatizo la kuzuia mihadhara ya kisiasa lilitengenezwa na CCM, halafu wakilitatua wahesabiqe Mashujaa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
CCM ilivyochokwa, hata ikigombea na TLP, ccm hawatopata kura 30% 😆😆😆
 
Back
Top Bottom