Kila weekend Kuna mtu mahali anagongewa mtu wake

Kila weekend Kuna mtu mahali anagongewa mtu wake

Kosa kubwa lilifanyika wakati wa uumbaji niile kufanya njia ya uzazi kuwa sehemu ya starehe, wanyama ndege na wadudu ambao kwao hilo tendo halina maana ila tu wakati wa uzazi wako na misha yenye furaha kwa kiasi kikubwa mno.
 
Sio week end tu, kila siku wake za watu hugongwa, wagongaji wanatumia "mkuyati "
 
Thats the truth..

Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅

Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend)

Hata zile video 400 za Legend Engonga kutoka Gine ya ikweta zilirekodiwa Siku za week end😅😅😅
Hii haina ubishi, nina wiki sasa nakaa lodge moja huku nje ya fensi ya Arusha Tech, nawaona wengi tu wanaingia kwa kujificha wanaletwa na taxi wengine kwenye magari meusi, na wengine wanaongozana na watu waliovaa misalaba wakaichopeka kweny mifuko ya mshati
 
📌📌📌📌📌📌📌📌📌

0231115_49.jpg
 
Dunia hii hatuna chetu vyote ni vya mungu, we ishi nae tu kwa sababu ameamua kuishi na wewe na hivyo hivyo anauwezo wa kuishi na mtu mwingine.

Mtumie wakati uko nae ili siku akiondoka usijutie kumpoteza na akiamua kuondoka mruhusu aondoke kwa roho safi kwa sababu dunia hii atukuumbiwa mbuyu mmoja kuna mibuyu mingi ambayo tunaweza kuifanya ikawa makazi yetu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom