Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Hakuna huo utaratibu. Miaka yote alama huzidishwa kwa coefficient ya mwaka husika, i.e msimu husika× 5, msimu jana × 4, msimu juzi × 3.... na kuendelea. Ndiyo maana ikaitwa 5 year ranking.
 
Kuwaangalia ndege angani wakiimba nikafurahi nimetumia sh ngapi? Wakorubu wanaoishi Amazon huko hawajui hata pesa ni nini lakini wanafurahia maisha na familia zao wakiwinda na kuvua samaki huko! Usilazimishe pesa iwe furaha ya kila mtu!
Hawajajua tu pesa, wakishaijua watajilaumu kuwa walichelewa sana kuijua 😂
 
Kumbe mnateseka nacho eee. Na bado
 
😂😂😂 hili ndilo kombe la Stela baada ya 5imba kumfunga dada Abiola? 😂😂😂 kweli mbumbumbu ni mbumbumbu! Kwa hiyo hiyo picha ya adobe ndiyo mnadanganywa nayo? View attachment 3201754
Mnatumia nguvu kubwa kulipinga hili maana ni dhahiri ni moja ya vitu vinavyowauma sana vyura kuona Simba ilifanikiwa kwanza kufika fainali za mashindano ya CAF.

Nashangaa hili nalo hamliiti chaka mnaona ni bora mumsikilize Manara kuliko kukubaliana na facts!
 
Yanga wanateseka kwa vitu vingi. Hata huu utani wa calculator jinsi ulivyotrend umewatesa saana.

Bahati mbaya hawajui wanazidi kujitesa kwa kutaka kukikimbiza kivuli cha Simba ambayo kila siku inajiwekea rekodi mpya.
Itaje iyo rekodi mpya? Rekodi ya kuvunja viti kwa mkapa nayo ni rekodi ya kujivunia mpaka mmefungiwa KUINGIZA mashabiki?
 
Yanga anapigwa Jumamosi...
 
Makubwa
 
Hakuna huo utaratibu. Miaka yote alama huzidishwa kwa coefficient ya mwaka husika, i.e msimu husika× 5, msimu jana × 4, msimu juzi × 3.... na kuendelea. Ndiyo maana ikaitwa 5 year ranking.
Mmh!! Kwahy 2020 ranking ilikuwaje!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…