MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Hakuna huo utaratibu. Miaka yote alama huzidishwa kwa coefficient ya mwaka husika, i.e msimu husika× 5, msimu jana × 4, msimu juzi × 3.... na kuendelea. Ndiyo maana ikaitwa 5 year ranking.Hivyo wachambuzi wanatofautiana , wapo wanaosema point zinazidishwa kwa 4 kwakua zinachukuliwa point za misimu minne nyuma.
Wengine unazidisha kwa mwaka uliopo , ambao sidhani kama ni sahihi. Sahihi ni point kuzidishwa mara 4 sio 5.
Ok, vyovyote iwavyo Sie tushatamba sanaa na top ten ya CAF , kwahiyo tunaweza kuwapokeza kijiti mtambe kidogo watani maana mlikuwa na mhaho kwa miaka yote ambayo hamkuwa top ten.