Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Jipe muda wa kutafakari hata mambo mengine
We Toka asubuhi unabishania rankings za Simba
Hizo rankings zitakupa ada ya mtoto, biashara. K
Unakaza sana kwenye ushabiki wa Simba.
Jadili kidogo, Fanya harakati zingine
Baada ya kushindwa hoja unakimbilia maisha binafsi ya watu. Nimekuta mjadala unaendelea, tunapangiana sasa muda wa kupost?

Wewe mwenyewe upo hapa, na wengine woote akiwemo mleta mada haujawaona.
 
Utakula hiyo Simba yako jinga wewe
 
Wewe tulia mbona wenge sana,,subilia kinachofata utapata majibu yako vizuri shida nini!
1000042079.jpg
 
Mahesabu ya rank za MSIMU HUU wa 2024-25 zinakomea msimu wa mwaka jana lakini bado tupo msimu huu kwa hiyo hata mshabiki wa Simba akitoka akajigamba yupo sahihi. Hizo ndiyo rank ambazo hesabu zake zimekamilika na ndiyo rank zinazohesabika kuwa ni za msimu huu.

Kuhusu rank za msimu wa 2025-26, bado mahesabu hayajakamilika maana inahitaji kujua timu zitaishia wapi mwisho wa msimu huu.

Narudia tena, katika mahesabu yenu mnaishia kuangalia hadi robo kwa sababu mnajua Simba ina nafasi zaidi ya Yanga kwenda mbali zaidi ya hapo.

Tuchukulie kama mnavyotamani Simba na Yanga zote zimeishia robo fainali mwisho wa msimu, je Berkane na USMA nao hawatavuka kwenda nusu fainali au zaidi? Je Pyramids au Al Hilal hawawezi kufika fainali? Unadhani yote hayo yakitokea Yanga bado itakuwa namba 5?

Mnaignore factors nyingi ili kufurahisha calculators zenu.
Kumbuka hata Yanga ina nafasi ya kufika mbali! Achana na hivyo vilabu vingine, Tukubaliane kwanza, mpaka sasa Simba ina alama 38 na Yanga 34 na endapo itavuka itakuwa 39, Juu ya Simba.Unakubali au unakataa?
 
Njoo ule huu muhogo ushibe wakati mimi nazungushazungusha huo mwiko hapo nyuma uinjoy mwenyewe
Na utaolewa kweli, huwezi kujua rankings za Simba kuliko hata uchumi wa Taifa ukawa mwanaume rijali
Tutawaoa ivo ivo na uvivu wenu
 
Kumbuka hata Yanga ina nafasi ya kufika mbali! Achana na hivyo vilabu vingine, Tukubaliane kwanza, mpaka sasa Simba ina alama 38 na Yanga 34 na endapo itavuka itakuwa 39, Juu ya Simba.Unakubali au unakataa?
Hizo rank hazina timu mbili pekee. Labda kama tunaongelea rank mbili tofauti! Tatizo toka mnunue hizo calculators mmepata muhaho.

Kama Yanga inafika mbali tupe mahesabu ya huko anapofika, kwa nini umeishia robo?
 
Hapa tunazungumzia kichaka cha Simba, Kwamba Yanga akifuzu robo fainali anakaa Juu ya simba, anakuwa anamzidi sinba points regardless ya timu zinginezo! Unakubali au unakataa? Na kama Yanga akienda nusu fainali tu! Baaasi itamlazimu 5imba kutwaa ubingwa shirikisho ili iweze kumpita tena Yanga.
 
Na utaolewa kweli, huwezi kujua rankings za Simba kuliko hata uchumi wa Taifa ukawa mwanaume rijali
Tutawaoa ivo ivo na uvivu wenu
Nini unachojua kuhusu uchumi wa taifa nguruwe pori wewee? Uchumi wako wenyewe umeukalia ndo utajua uchumi wa taifa?
 
Hapa tunazungumzia kichaka cha Simba, Kwamba Yanga akifuzu robo fainali anakaa Juu ya simba, anakuwa anamzidi sinba points regardless ya timu zinginezo! Unakubali au unakataa? Na kama Yanga akienda nusu fainali tu! Baaasi itamlazimu 5imba kutwaa ubingwa shirikisho ili iweze kumpita tena Yanga.
Kumbe calculator yako inakwambia Simba inaweza kubaki juu ya Yanga, sasa mbona mnajitoa ufahamu?
 
Hapa tunazungumzia kichaka cha Simba, Kwamba Yanga akifuzu robo fainali anakaa Juu ya simba, anakuwa anamzidi sinba points regardless ya timu zinginezo! Unakubali au unakataa? Na kama Yanga akienda nusu fainali tu! Baaasi itamlazimu 5imba kutwaa ubingwa shirikisho ili iweze kumpita tena Yanga.
Hivyo wachambuzi wanatofautiana , wapo wanaosema point zinazidishwa kwa 4 kwakua zinachukuliwa point za misimu minne nyuma.

Wengine unazidisha kwa mwaka uliopo , ambao sidhani kama ni sahihi. Sahihi ni point kuzidishwa mara 4 sio 5.

Ok, vyovyote iwavyo Sie tushatamba sanaa na top ten ya CAF , kwahiyo tunaweza kuwapokeza kijiti mtambe kidogo watani maana mlikuwa na mhaho kwa miaka yote ambayo hamkuwa top ten.
 
Hizo rank hazina timu mbili pekee. Labda kama tunaongelea rank mbili tofauti! Tatizo toka mnunue hizo calculators mmepata muhaho.

Kama Yanga inafika mbali tupe mahesabu ya huko anapofika, kwa nini umeishia robo?
Huko mliko tuliishia robo?
 
Back
Top Bottom