SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Baada ya kushindwa hoja unakimbilia maisha binafsi ya watu. Nimekuta mjadala unaendelea, tunapangiana sasa muda wa kupost?Jipe muda wa kutafakari hata mambo mengine
We Toka asubuhi unabishania rankings za Simba
Hizo rankings zitakupa ada ya mtoto, biashara. K
Unakaza sana kwenye ushabiki wa Simba.
Jadili kidogo, Fanya harakati zingine
Wewe mwenyewe upo hapa, na wengine woote akiwemo mleta mada haujawaona.