Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Ndio yeye anaishi maisha yake anonymous ila anayetaka trend na kiki ni tofauti kabisa.
 
We ni mwanamke au mwanaume? Mbona kama ni member wa Upinde anayejifanya mwanamke?
 
Kwanini ukimaliza unaclear mpaka history?? Jibu litakuwa kama kichwa cha habari hapo ila watajizima data kubisha na kunitukana.
Hapana
Huu mtandao sio FB wala IG kwamba uwe publicity to my/ our people.

Kama wewe na mdogo wako mmeigeuza JF kama IG mnatajiana usernames basi ni nyie. Ila sie hatuwezi, thats why tuna clear history.
 
Mbona kama Kuna mahali umetafuna tafuna hujaeleweka. Ulivyomuuliza huyo mdogo wako mbea kajuaje kama hiyo id ni ya huyo shemeji yake mbona kajiuma uma tu mara anatagiwa mara sijui nn
Kuna uzi niliwahi kuleta humu kuomba ushauri kuhusu baba mtoto wangu baada ya siku chache kuna memba akaja kujibu ule uzi kwamba ndio baba wa mtoto. So kila uzi huwa anatagiwa na memba nikicoment ndio dogo akahisi ndie Ex shemeji yake kumbe sie.
 

Hata wewe tunakuona mpuuzi



Hata Kama unatumia ID fake ila avatar yako inaonesha wewe Ni tararira
 
Mahitaji yapo ya aina 3.,Kuna vitu vya lazima,vya muhimu na vya ziada
mitandao ni vya ziada kwaiyo ni kama starehe na burudani tu kuna wakati tupo hapa kuufariji na kupoteza mawazo lakini sio ukweli kila usomacho.

Note.Uhalisia wa mtu unapatikana kwenye pesa na mali.
 
Mtaji wake ni kumfatilia ex bwashe then anakuletea sister muanze kumjadili?

Let him enjoy his anonymity mkuu, humu tunaandikaga upuuzi wakati mwingine ili kupunguza stress na kujiburudishs
Ukirudi kusoma uzi vizuri utagundua huyo anayeandika upuuzi sio Ex shemeji yake na nilimuelekeza tatizo umesoma kwa kukimbilia kucoment, anyway my Ex is very anonymous even to my young bro zaidi yangu hakuna anayejua ID yake na huwa hacoment upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…