Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Duh!....hizi fake id zinatusitiri kweli kweli.

Ila kila mmoja ana maisha yake binafsi humu.
 
What if he has more than 1 ID?
I second you mkuu, its a big NO. Hata akiwa na ID nyingine personality yake is definable. Unajua personality ya mtu haijifichi hata iwe vipi. Unafikiri kwann dogo alishangaa alivyohisi ni shemeji yake?? Sababu anamjua hata kwenye fake ID hawezi kuwa hivyo.

Ukiona mtu anapotray tabia fulani ie matusi au umbea or umalaya mitandaoni kuna asilimia kubwa hata in real life yupo hivyo.
 
Sasa mkuu,
Third party hajawahi hata kukulala wala kuishi na wewe, mnamjadili wa nini? Aisee au unamfaham huyo mwamba?
Hata sura yake simfahamu kabisa. Nilimjadili kwa dogo baada ya kuuliza ili ajue hata kama Ex hayupo kwenye maisha yetu tena bado ana heshima yake so watu wa mitandaoni asiwape nafasi ya kumjudge.
 
Pole sana! Ndiyo unajua leo? Mbona hili ni jambo ambalo liko wazi sana? Unajua unachosema ni kuwa maneno anayozungumza mtu yanaonyesha tabia yake... Sasa ulikuwa hulijui hili? Au una changamoto za kiakili?
 
Pole sana! Ndiyo unajua leo? Mbona hili ni jambo ambalo liko wazi sana? Unajua unachosema ni kuwa maneno anayozungumza mtu yanaonyesha tabia yake... Sasa ulikuwa hulijui hili? Au una changamoto za kiakili?
Imebidi nicheke hapo au una changamoto ya akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuwa najua ila baada ya kuona madhara yake ndio nawakumbimusha na wenzangu
 

Sasa kama unakiri ni mtu mwema na mwenye personality njema kabisa, kwa nini ulitumia mtandao kumshambulia?

Anyway, sababu hapo juu umekiri utabadilika ngoja tuachie hapo...

Naona uzi wako unaishi kwenye signature niliyoiandika miaka kenda+ iliyopita...
 
Yes and no..
Kwa kuwa humu I'd ni feki, kuna wakati unaandika mambo ambayo kiuhalisia huwezi hata kutamka tu
Unaamini hilo kabisa mkuu?? Unaweza kujisifia umalaya humu kuwa na wanawake wengi wakati in real life sio?? Lazima kutakuwa na asilimia fulani ya ukweli
 
Akili tunazo ila mara nyingi humu tunajitoa ufahamu tu,

It's stress free zone
Mfano mama siku binti yako akijua ID yako bahati mbaya vipi utabaki kuwa comfotable kwa unavyojipotray humu?? Ndio ninalolisemea
 
Kwa sababu alikosea kwa kipindi hicho na nilihitaji maoni tofauti tofauti kabla sijachukua maamuzi and sikumshambulia mkuu. Asante sana kwa ushauri
 
Huku nje maisha magumu sana. Hatuwezi kuwa serious kote kote, tutadata mapema.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli kabisa ila tuwe na kiasi na tunayoyaandika mkuu. Imagine kila siku nilete mada za kubadilisha wanaume humu si lazima mtaconclude ndio nilivyo hata nje ya JF??
 
Huyo mdogo wako kwa jinsi anavyomfuatilia huyo shem wake na siku mdogo wako akigegedwa na huyo mumeo utaona kama atakuhadithia.
Fukuza huyo mkuda chap kabla hajakuvunjia ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…