Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Nimeshakunywa nimerudi maskani.
Ila kuna demu mmoja alikuwa ananiangalia kwa kuibia sijui ananifahamu.
Ameondoka na mimi nikasepa.
Kama umeshaanza kupiga mvinyo kwa kuonja tu leo na kuanza kuona watoto wazuri, sahau kujenga mwaka huu 😀
 
Kama umeshaanza kupiga mvinyo kwa kuonja tu leo na kuanza kuona watoto wazuri, sahau kujenga mwaka huu 😀
Dah sasa nifanyeje.
Nilitaka kumfuata sema nikaona kwa sababu leo ni siku ya kwanza, nisije nikazingua.
 
Alikuwa anakunywa soda. Nikajua sio mnywaji wa vileo​
Kwa sababu ni mwanzo hakuna shida, ila huku kutumia hela kama laki 1, 2, 3 kwa siku ni kawaida; itategemea umeenda kiwanja kipi.
Kama bado unajipanga, usiende viwanja vikali vikali, tembelea haya maeneo ya kawaida kawaida.​
 
Saint Anne changanya na Miranda nyeusi nusu glass wine nusu Milinda.
 
Back
Top Bottom