Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Piga hii Absinthe Calavera.

Alcohol percentage 89.9%
Screenshot_20250209-223439_1.jpg
Screenshot_20250209-223524_1.jpg
 
Hio pombe kuna jamaa alikua nayo,amekaa sehemu na jamaa zake,akamtuma mdogo wake akailete,dogo kufika tamaa zake akamimina kidogo ashtue ndio apeleke,ndio ikawa mwisho wa yule dogo kuishi...
Ndio maana umechorewa na fuvu kabisa.

Hiyo ukionja hata kifuniko kimoja ni sawa na kunywa maji ya betri au sulphuric acid.
 
Back
Top Bottom