Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Take care. Be careful.
Matumizi ya vilevi yana mambo mengi bahati mbaya huchukua muda mrefu mtu kujua namna gani ya kuhimili, kuepuka mikimiki nk, wakati huo tayari utakuwa umeathirika au umeathiri wengine kwa namna moja au nyingine, kwa kujua au kutojua.
Kama hukutumia miaka yote hiyo unaweza kutokutumia pombe maisha yako yote.
 
IMG-20250206-WA0009.jpg
IMG-20250206-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom