Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

Kilevi gani kizuri kwa wanaoanza?

😂😂😂 Kichuo chuo enzi hizooo! Ndo tumefika first year kesho yake asubuhi!

Nikauliziaa bar 🍺 zipo wapi? Nikaelekezwa

SAUT MWANZA hiyooo!

Nikaanza mwendo wa castle lager ndogo!

Jamaa wametoka class kuitafuta Mimi Niko bar! Basi wakaja na videmu

Nikawaambia agizeni ntalipa!

Kuna dada akaagizaa bia ya senator 😂😂

Mpaka muhudumu akashangaaa! Kumbe hajawahi kunywa bia ila anaonaga baba ake home anakunywa senator hivyo ndo bia pekee anaijua!

Nikawaambia bebeni mtu wetu muondoke nae sitaki kesi
 
Uzuri wake ni nini
Usiruhusu dem wako atumie izo smirnof ikiwa hayupo na ww na akiwa na ww ujue kipochi manyoya lazima upewe na ubaya ukiwa umekunywa ww bao halitoki kama likitoka huwa kwa mbinde sana.
Screenshot_20250209-100651~2.jpg
 
Back
Top Bottom