Kili Music Awards 2011

Kili Music Awards 2011

tekniko kwikwi

alieko karib awaambie wazime ile mike pale mbele ina-pick sauti za crowd

lights mchemsho
 
Mpoki kamshinda Mjomba Mpoto! Hapa ni wiz mtupu wameniboa mbaya nat fair jaman mjomba alistahili bt wamemtosa tu kinafiki
 
Hii Imetulia. 20% is one & only in Bongo Fleva today!
 
Huyu binti anayeimba sasa hivi ni mzuri kweli, hakika anajitahidi kuimba 'live'
 
yaani Linah mbona anatia huruma? mbona anaimba vibaya namna hiyo, kweli wasanii wa kibongo hawawezi kuimba "live"
 
yaani Linah mbona anatia huruma? mbona anaimba vibaya namna hiyo, kweli wasanii wa kibongo hawawezi kuimba "live"

Hapana kajitahidi kuimba vizuri as compared to waliomtangulia Ali Kiba na Diamond
 
yaani Linah mbona anatia huruma? mbona anaimba vibaya namna hiyo, kweli wasanii wa kibongo hawawezi kuimba "live"
Unamwonea, wasanii wachache wa Bongo wanaweza kufikia kiwango hiki mkuu
 
Ngoma bora ya Hip hop kabeba Jcb na dude lake la "Ukisikia Paaah...ujue Imekukosa"pia hawa Jamaa wamechukua Best Collabo ngoma hiyohiyo Ya ukisikia Paah.
 
hivi hii bilioni moja iliotumika, hawa watu waliofanya stage walishindwa kabisa kupata decent podium (mimbari)?
 
Back
Top Bottom