Kili Music Awards 2011

Kili Music Awards 2011

hii stage giza kweli, wapambaji wanafanya hii kitu imekuwa third class kwenye third world country
 
kwenye category moja mtu kuwa na nyimbo mbili kunampunguzia kura
 
Wimbo bora wa zouk-Barnaba nabembelezwa!
 
Hawa wote lazima tuwachane kwenye ANTVIRUS ijayo wasilete ungese hapa! Wanapeana peana tu!
 
Hawa wote lazima tuwachane kwenye ANTVIRUS ijayo wasilete ungese hapa! Wanapeana peana tu!
yaani hawa mwaka huu kuna upuuzi umefanyika kama miaka iliyopita, sijui kwa nini hawarekebishi haya makosa madogodogo!
 
pass mark zake ni hizi, Angalia CNO NUMBER 0485

Pass mark za nini hapa tena mkuu?..............Si busara hata kidogo kuweka pass mark zake bana,sidhani kama hii inahusiana na Tuzo za Kili 2011
 
kili muzik award bado yaitaj alot of maboresho
Ndo ninavyoona pia. Yani hazinipi hata hamu ya kuhudhuria, wanashindwa kurekebisha mambo madogo sana, wasanii wanaimba as if hawakuandaliwa wanashindana na vipaza sauti, inasikitisha.
 
wimbo wanaoimba sasa wa 'pamoja' aint making my day. Horrid!
 
Back
Top Bottom