donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Unafkiri ni kina nani wataibuka vinara?
UPDATES:
20% kashinda tuzo 5 kwa mpigo!
UPDATES:
20% kashinda tuzo 5 kwa mpigo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo bora wa Asili tuzo imekwenda kwa SHANGAZI wa Mpoki.........
Ukisikia Ujinga wa tuzo hizi ndio huu....dah
Nilitarajia aidha Adela au Kariakoo mmojawapo unyakue zawadi. Ya Mpoki imenichekeshaHawa jamaa wapuuzi sijapata kuona...........wimbo wa SHANGAZI!!!!!!!!!!!!..... My foot, eti Mpoki kawashinda Mpoto (Adella), Off Side Trick na Bi Kidude (Ahmada), Mataluma (Kariakoo) na Kimbelembelea
Wimbo Bora wa Kiswahili kwa Band ni upi mkuu?
Nilitarajia aidha Adela au Kariakoo mmojawapo unyakue zawadi. Ya Mpoki imenichekesha
Sasa nami naangalia... Wimbo wa Taarabu naamini atashinda mwenye wimbo wa MAMA NIPE RADHI
bongo fleva hii ndo weakness yao-naona hata pumzi ya kuimba hawanaWasanii hawa wa BONGOFLEVA ni BURE kabisa......Hawawezi kuimba 'live' hata kidogo