Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.

On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.

Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.

===========

Aiyola:

Bado:

Pole Sana! Tuzo za Tanzania haziangalia Quality ya Music, Mixing, Vocal, Beat n.k, haziangalii utaalam wowote, Ni tofauti Na tuzo za duniani ambapo Producers, DJs Na wataalam wengine hupitia nyimbo Na kuangalia ufundi zaidi, Na namna ilivyo heat, Tanzania wanaangalia Kula Tu, ukiwa Na kula nyingi basi wewe ndo mshindi, Ni nguvu yako Tu kushawishi watu wakupigie Kula, Na Watanzania wanampigia Kula msanii wanayempenda! Sio msanii bora, ndo maana kipindi 20% anabeba tuzo zile 5 ikiwemo nyimbo bora ya mwaka, lakini producer aliyefanya ngoma zote zile pamoja Na nyimbo bora, akanyimwa tuzo ya Producer bora!
 
Ukishakuwa WCB ata ukiimba "mabata madogo madogo" utapendwa tu na wadada, na utapata kick za kutosha.

aha ah mbavvu zangu!! umenichekesha kweli BT ulichoongea co kweli, aiyola umefanya vizur sana 2015 anastahili tuzo zaid ya moja kama hawataleta siaasa
 
Pole Sana! Tuzo za Tanzania haziangalia Quality ya Music, Mixing, Vocal, Beat n.k, haziangalii utaalam wowote, Ni tofauti Na tuzo za duniani ambapo Producers, DJs Na wataalam wengine hupitia nyimbo Na kuangalia ufundi zaidi, Na namna ilivyo heat, Tanzania wanaangalia Kula Tu, ukiwa Na kula nyingi basi wewe ndo mshindi, Ni nguvu yako Tu kushawishi watu wakupigie Kula, Na Watanzania wanampigia Kula msanii wanayempenda! Sio msanii bora, ndo maana kipindi 20% anabeba tuzo zile 5 ikiwemo nyimbo bora ya mwaka, lakini producer aliyefanya ngoma zote zile pamoja Na nyimbo bora, akanyimwa tuzo ya Producer bora!
Heat× Hit√

Kula× Kura√

Anyway, figisufigisu sio bongo tu hata mbele mbona sana tu, au hujawasikia wakina Chris Brown wakilalamika? Just imagine ukali wote huo wa cb ana tuzo 1 tu ya Grammy
 
lara 1 hata umpigie kiki vipi Harmonize, lakini atachukua tuzo moja tuu.
weka maneno yangu kama kumbukumbu utajionea mwenyeww wakati wa ugawaji tuzo.. UPCOMING ARTIST AWARD inamuhusu nothing else
Inategemea na vipengele atavyopangwa.kama vikiwa zaidi ya viwili mie namuongezea moja kwaiyo atapata c chini ya mbili.
 
huyu harmonize ni revised version ya alli kiba, nae ni mbana pua tu!
 
kill ni kama miss Tz tu mpaka wapewe papuchi ndio wakupe tuzo wana jaa rushwa tu ,20% sijui alikuaje ila kwa kuwa ana kipaji na watu walikiona.wakashindwa chakachua takukuru inabidi wafanye kweli
 
tuzo zinawenyewe hzo dada, unacheza na kili music award wewe!!!? hata upige kura mara 10000 kama wamepanga kumpa mtu wao haibadirishi kitu, waandaaji wa hz tuzo wanaboa sana ipo siku utashangaa tuzo ya msanii bora wa hiphop anapewa diamond na wimbo bora wa hiphop anapewa ali kiba, BONGO KILA KI2 CHAWEZEKANA
 
Mbona unakua sio mwelewa umeona category nilizotaja... Hakuna haja ya kubisha mwana ni nzuri cjakataa but ww mwenyew unajua mahali kiba alishinda hakustaili... But isiwe shida mana haiwezi jirudia kimakosa ten japo kuyapunguza kdgo..
Kaka usibishane na uyo punga utakesha
 
kusema kwamba aiyola haijafanyiwa promo kama "Nana" inaonyesha kwamba hufuatilii muziki... hata bado inafanyiwa promo kwa mtindo ule ule nyimbo zote WCB zinavyofanyiwa ... media tour , hashtag kama za diamond tuu, maana management ni moja...

Kuna watu ambao naona wanastahili pongezi maana wenyewe wamekuwa wakitoa mawe tu, hawana maneno wala nini... si wengine ni Navykenzo...

Tuzo ya chipukizi,,,,, Harmonize atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa ruby kwenye best upcoming, probably Team Dai itammbeba....
 
Lara 1 unataka kuwakata stimu wazee wa Kili Music Award. Wapo busy kuweka mazingira ya babu K kupata tuzo nyingi kwa mwaka huu. Tatizo Lupela na Nagharamia video zipo chini ya kiwango. Wanamlazimisha atoe nyingine haraka kabla ya kuanza mchakato ili itumike kumbeba. Wazee wa fitina "dalili ya mvua" wapo tayari kwa promo.
 
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.

On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.

Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.

===========

Aiyola:

Bado:
[/QU
Lara 1 uko sahihi kuwa hizi nyimbo kali, Ila sina uhakika na idadi ya tuzo, Labda 2 tano nyingi bibie...
 
Back
Top Bottom