ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,604
Well saidah mi kwa mtazamo wangu dgo ni wakawaida sana sema mnamnyea sana mitandaoni thats y anaonekana hot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well saidah mi kwa mtazamo wangu dgo ni wakawaida sana sema mnamnyea sana mitandaoni thats y anaonekana hot
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.
On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.
Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.
===========
Aiyola:
Bado:
Wewe hujielewi, unamfananisha Harmonize na Baraka? Baraka de Prince is the next big thing after hawa wakina Diamond, Harmonize wa kawaida tu sitarajii kama atakuwa mkubwa sanaBaraka anaimba nini sasa? Labda SKENDO tu ndo zinampandisha chati. Harmonise hana SKENDO na yupo juu. Baraka KAWAIDA SANAAAAA
Ukishakuwa WCB ata ukiimba "mabata madogo madogo" utapendwa tu na wadada, na utapata kick za kutosha.
Heat× Hit√Pole Sana! Tuzo za Tanzania haziangalia Quality ya Music, Mixing, Vocal, Beat n.k, haziangalii utaalam wowote, Ni tofauti Na tuzo za duniani ambapo Producers, DJs Na wataalam wengine hupitia nyimbo Na kuangalia ufundi zaidi, Na namna ilivyo heat, Tanzania wanaangalia Kula Tu, ukiwa Na kula nyingi basi wewe ndo mshindi, Ni nguvu yako Tu kushawishi watu wakupigie Kula, Na Watanzania wanampigia Kula msanii wanayempenda! Sio msanii bora, ndo maana kipindi 20% anabeba tuzo zile 5 ikiwemo nyimbo bora ya mwaka, lakini producer aliyefanya ngoma zote zile pamoja Na nyimbo bora, akanyimwa tuzo ya Producer bora!
Kwa sababu wanaongooza kuumizwa na mapenzi.huu wimbo umependwa sana na wadada. hata sijui kwanini???
Inategemea na vipengele atavyopangwa.kama vikiwa zaidi ya viwili mie namuongezea moja kwaiyo atapata c chini ya mbili.lara 1 hata umpigie kiki vipi Harmonize, lakini atachukua tuzo moja tuu.
weka maneno yangu kama kumbukumbu utajionea mwenyeww wakati wa ugawaji tuzo.. UPCOMING ARTIST AWARD inamuhusu nothing else
hivi Baraka anaimba nini cha maana?Bado Hujanishawish!!! Nimuache Baraka Au Rubby Nimpe Harmonize!! No! No! Not Gud
Kaka usibishane na uyo punga utakeshaMbona unakua sio mwelewa umeona category nilizotaja... Hakuna haja ya kubisha mwana ni nzuri cjakataa but ww mwenyew unajua mahali kiba alishinda hakustaili... But isiwe shida mana haiwezi jirudia kimakosa ten japo kuyapunguza kdgo..
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Tabia ya Kili Music Awards kufanya figisu figisu kuwajaza mituzo Dai na Kiba sio ishu. Mwaka huu wote minyimbo yao mibayaaaa.
On the other hand Harmonise na wimbo wake wa Ayoola ni mtamu sanaaaaa. Aisee anastahili walau tuzo 5. Kiukweli tena.
Afu yuko very humble, interview alivoulizwa anmuonaje Kiba, akasema ni mwanamziki mzuri na anaweza kufanya nae kazi inaonesha ukomavuuu katika fani. Kiukweli huyu kijana asiposhinda walau tuzo 5 mwaka huu patachimbika kama Miss Tz palivochimbika.
===========
Aiyola:
Bado:
[/QU
Lara 1 uko sahihi kuwa hizi nyimbo kali, Ila sina uhakika na idadi ya tuzo, Labda 2 tano nyingi bibie...