Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Kili Music Awards, asiposhinda Harmonize, mtawajibika mwaka huu!

Ushindi , tc oll about peoples power, xo usiishie kupost jF, bas jiandae kuplay part ako km fan ktk kura, na c kushinda tuzo kwa miujiza
 
tuzo za kili zinategemea zaidi kura, halafu nyimbo zinazohusika ni za mwaka jana, unataka kusema nyimbo za taifa kama chekecha na nana zikose tuzo? hapana aisee.. huyo dogo labda achukue upcoming
Halafu sifa nyingine ni uhusiano wako wewe na mawingu radio/tv. Wale wana kura ya Veto kama zile nchi 5 katika baraza la usalama la dunia
 
Wewe hujielewi, unamfananisha Harmonize na Baraka? Baraka de Prince is the next big thing after hawa wakina Diamond, Harmonize wa kawaida tu sitarajii kama atakuwa mkubwa sana
Baraka next level... Tuwe tu wakweli
 
Baraka balaa Dada ohoo.... Ngoma zote hajawah kosea dadadeq..hamna kolabo na msnii mkubwa... Sauti je?...

Sasa siachani nawe, nivumilie, na siwezi mbona katambaa melody ile ile? Barakah zake skendo tu. Harmonise ndo mpango mzimaaa
 
Back
Top Bottom